Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Timu limejaa mambumbumbu tu
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Hata logic ndogo jitu mbumbumbu linabisha tu
Tangu lini utopolo akawa na logic chura wa Ngara wewe🤣🤣🤣😂

Mngekuwa na logic mngeshinda japo hata kesi moja CAS Utopolo nyie
 
Tangu lini utopolo akawa na logic chura wa Ngara wewe🤣🤣🤣😂

Mngekuwa na logic mngeshinda japo hata kesi moja CAS Utopolo nyie
Jambo la CAS lipo juu ya uweZo wako kiakili, wenye akili nyingi tushajua
 
Bado hamjasema mpk muuthibitishie uma ni kwl siku yenyewe tulikuja na bus limejaa wazee au ilikua trick ya kuvuruga mechi tu kwa makusudi
 
Timu limejaa mambumbumbu tu
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Hata logic ndogo jitu mbumbumbu linabisha tu
1746245719026.jpeg



Hii picha inaonyesha dhahiri Emayel na Manara walikuwa sahihi kabisa
 
Toka GSm ashtukiwe na mitimu yake 8 siku hzi haumsikii tena akisema Yanga Bingwa...kwa sbb mwanzo watu walikua hawajui why ana uhakika hivyo baada ya watu kujua janja zao..na jinsi hizo timu zinavyocheza na uto na watu wa michezo wanajua kabisa ni kosa kudhami itimu kiasi hiko kwny ligi moja...akaona ooh ooo hapa itakula kwetu so siku hz hiyo yanga bingwa kaiacha...
 
Nadhani ile dhana ya "ubaya ubwela" ndio hii sasa
 
Nimekwambia hizo.mechi alicheza Kefa Kyombo kama unabisha twambie alichezesha nani

Kuhusu uamuzi wa CAS hili jambo liko juu ya uelewa wako hata nikuelezee vipi huwezi kuelewa,
Humu Jamii forums Kuna member wana upeo mkubwa wameshaelewa ila wewe jinga utabisha hadi asubuhi
Hili sakata linakuja na sura mpya ambayo wewe na mbumbumbu wenzako hamtaamini
Narudiaa weka picha za huyo refa akichezesha hizo mechi zote za simba ulizosema, acha ujinga wewe siku nyingine ukija uje umejipanga vizuri kwa hoja na ushahidi wa kutosha vinginevyo utaendelea kuumbuka kama hivi, hakuna cha sura mpya wala nini vyanzo vyote vya kuaminika vimeshathibitisha kwamba mmeshindwa kesi cas halafu ninyi mnaleta upumbavu wenu hapa
 
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo akauwa shambulio na kumaliza mechi

2 Kefa Kyombo alitoka penalty ya utata Kwa Mpanzu mechi dhidi ya Simba vs Tabora United

3 Kefa Kyombo ndo aliwapa Simba penalty ya utata dakika za mwisho
Mechi ya Simba vs JKT Tanzania

4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24😭😂

Karia na TFF yake wameamua kuwapa Simba ubingwa kibabe
View attachment 3322957View attachment 3323097View attachment 3323099View attachment 3323100
We unaongea utumbo tu huna lolote je mchi za yanga unazihau si ndio kubali kuwa hizi tim mbili ndo tim kubwa hapa nchini kwaiy watafanya lolote liwezekanalo ili simba au yanga ishinde. Yan ukizitoa hizi tim mbil simba na yanga hakuna ligi mzee kwaiyo acha ushamba wa kijinga
 
Back
Top Bottom