Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Sasa utasemaje madrid ni mbovu wakati inaongoza kwa makombe ya uefa na la liga na ndio inajiita club above all, kwahiyo kwa kusema hayo unapingana na ile kauli yenu kwamba yanga ni bora kuliko simba kwa kigezo kwamba ina makombe mengi ya ligi kuliko simba, unasema yanga haitokaa icheze mashindano ya shirikisho wakati kila siku mnatupigia kelele na medali zenu na kusema mshacheza fainali za caf mkiwa na kikosi bora haya simba imefika huko ikiwa na kikosi kibovu hapo mna lipi la kusema
Hii Madrid sio Bora kuwa na makombe haifanyi timu iwe Bora MILELE

Nimekwambia Yanga hii katu haitakuja kucheza shirikisho abadani hayo mashindano yenu ya UMISETA yaani mashindano ya akina mama, sio hadhi ya Yanga
Hayo mashindano ya shirikisho yajadilini na Coast union Namungo na Biashara united
 
Akili zako ni finyu huwezi kuelewa huu mtego
Hebu nenda kundi la manyumbu shangilia
Kwanza hujanijibu hoja yanga ambayo ndiyo lengo hasa la huu uzi wako, nimekuambia weka picha za marefa waliochezesha mechi mnazodai simba walipewa penati zenye utata hadi sasa naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, utopolo hamna ujanja wowote ninyi ni wapumbavu kuanzia viongozi hadi mashabiki wote hamna akili.. kwa hili kubalini tu mmejivua nguo mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kuendelea kukimbiambia akiwa uchi kitu ambacho kinafanya azidi kujidhalilisha!!
 
Huwa napenda mtu anayekuwa specific:
1. Penati ya kwanza ubatili wake ni ...
2. Kadi nyekundu ubatili wake ni ...
3. Penati ya pili ubatili wake ni ...
4. Dakika 15 za nyongeza ubatili wake ni ...

Sipendi mtu anayeongea kwa ujumla jumla
Wabongo wengi reasoning hua hawawezi kutoa,
Ukitaka kujua hilo, waangalie wanavyoongea wakati wa mechi ya leo.
Hatoi sababu ya kwanini tukio fulani liliwabeba simba zaidi wakati kanuni inaelekeza hivi..
 
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo akauwa shambulio na kumaliza mechi

2 Kefa Kyombo alitoka penalty ya utata Kwa Mpanzu mechi dhidi ya Simba vs Tabora United

3 Kefa Kyombo ndo aliwapa Simba penalty ya utata dakika za mwisho
Mechi ya Simba vs JKT Tanzania

4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24😭😂

Karia na TFF yake wameamua kuwapa Simba ubingwa kibabe
View attachment 3322957
Poleni mnaoshabikia mpira wa bongo. Binafsi ni Yanga lakini hata huwa sina habari na ligi ya bongo hata Yanga akicheza. Labda timu yoyote ya Tanzania ikicheza kimataifa angalau ndiyo najongea kwenye TV kupata burudani kwa sababu marefa wana ka-aibu japo napo kuna vurugu za hapa na pale. Mpira ni burudani, siyo mambo ya uvunjaji wa sheria 17 za FIFA.

Hasahasa kwa sababu ya Azam, huwa najikuta natazama zaidi mechi za Serie A na Laliga. Kwa mbaliiii Bundesliga. Kule Serie A mbugi inapigwa balaa hata suoni haja ya EPL, kina Thuram wanaendeleza jina la baba yao!
 
Hii Madrid sio Bora kuwa na makombe haifanyi timu iwe Bora MILELE

Nimekwambia Yanga hii katu haitakuja kucheza shirikisho abadani hayo mashindano yenu ya UMISETA yaani mashindano ya akina mama, sio hadhi ya Yanga
Hayo mashindano ya shirikisho yajadilini na Coast union Namungo na Biashara united
Oohh kumbe unajua kwamba yanga kuwa na makombe mengi kuliko simba hakuifanyi kuwa bora milele kuliko simba, kwanza mmedanganywa kwamba mna makombe 30 ya ubingwa wa ligi kumbe mna makombe 25 tu hayo mengine sijui yametoka wapi, kama unayakana hayo mashindano ya shirikisho kwahiyo mnataka tufute rekodi ya kwamba yanga ishawahi kucheza fainali ya caf na tufute kwamba mna medali za hayo mashindano siyo
 
Akili zako finyu huwezi kuelewa hoja ngumu hizi
Shangilia na mbumbumbu wenzako hili sakata linakuja na sura mpya na ngumu zaidi ya lilivokuwa
Una ubongo hata wa kufanya mzani na kuhitimisha kuwa hii hoja ni ngumu?

Kwanza hujanijibu hoja yanga ambayo ndiyo lengo hasa la huu uzi wako, nimekuambia weka picha za marefa waliochezesha mechi mnazodai simba walipewa penati zenye utata hadi sasa naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, utopolo hamna ujanja wowote ninyi ni wapumbavu kuanzia viongozi hadi mashabiki wote hamna akili.. kwa hili kubalini tu mmejivua nguo mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kuendelea kukimbiambia akiwa uchi kitu ambacho kinafanya azidi kujidhalilisha!!
Nimekwambia hizo.mechi alicheza Kefa Kyombo kama unabisha twambie alichezesha nani

Kuhusu uamuzi wa CAS hili jambo liko juu ya uelewa wako hata nikuelezee vipi huwezi kuelewa,
Humu Jamii forums Kuna member wana upeo mkubwa wameshaelewa ila wewe jinga utabisha hadi asubuhi
Hili sakata linakuja na sura mpya ambayo wewe na mbumbumbu wenzako hamtaamini
 
Akili zako finyu huwezi kuelewa hoja ngumu hizi
Shangilia na mbumbumbu wenzako hili sakata linakuja na sura mpya na ngumu zaidi ya lilivokuwa
Una ubongo hata wa kufanya mzani na kuhitimisha kuwa hii hoja ni ngumu?

Huwa napenda mtu anayekuwa specific:
1. Penati ya kwanza ubatili wake ni ...
2. Kadi nyekundu ubatili wake ni ...
3. Penati ya pili ubatili wake ni ...
4. Dakika 15 za nyongeza ubatili wake ni ...

Sipendi mtu anayeongea kwa ujumla jumla
mkuu una kitu uzingatiwe
 
Kwanza hujanijibu hoja yanga ambayo ndiyo lengo hasa la huu uzi wako, nimekuambia weka picha za marefa waliochezesha mechi mnazodai simba walipewa penati zenye utata hadi sasa naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, utopolo hamna ujanja wowote ninyi ni wapumbavu kuanzia viongozi hadi mashabiki wote hamna akili.. kwa hili kubalini tu mmejivua nguo mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kuendelea kukimbiambia akiwa uchi kitu ambacho kinafanya azidi kujidhalilisha!!
Wewe umejipima akili?
 
Si
Penati ya utata ndio penati gani?

Maelezo kama haya ndio yaliyomfelisha na Simon Patrick huko CAS mpaka kaangukia pua.

Naskia mbele ya mahakama Simon Patrick alisema "TFF imeahirisha mechi kwasababu zenye utata"

Ndio maana mwamuzi wa kesi akaona ni ujinga na kuamua kuifuta.

Sasa kupitia malalamiko yako nenda tena kwa Simon Patrick kabla hajapoa mwambie kwa scenario hii hakuna namna mnaweza kuipoka alama Simba mkienda CAS.

Mfate saizi akiwa bado wamoto wamoto.

Nb "Maji yaliyotulia ndio yana vyura wengi"
Sikuhizi upumbavu imewajaa penye makosa ya wazi kabisa mnashabikia tu kisa ni mashabiki wa Simba. Punguzeni ushabiki ili uwe objective mambo ya msingi.
Ni sababu gani ya refarii kumaliza mpira baada ya goli la penati kama Mashujaa walikuwa wanapoteza muda.
 
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo akauwa shambulio na kumaliza mechi

2 Kefa Kyombo alitoka penalty ya utata Kwa Mpanzu mechi dhidi ya Simba vs Tabora United

3 Kefa Kyombo ndo aliwapa Simba penalty ya utata dakika za mwisho
Mechi ya Simba vs JKT Tanzania

4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24😭😂

Karia na TFF yake wameamua kuwapa Simba ubingwa kibabe
View attachment 3322957
Jaman si mnaomgoza ligi kwa Point 10 au hazitoshi
 
Si

Sikuhizi upumbavu imewajaa penye makosa ya wazi kabisa mnashabikia tu kisa ni mashabiki wa Simba. Punguzeni ushabiki ili uwe objective mambo ya msingi.
Ni sababu gani ya refarii kumaliza mpira baada ya goli la penati kama Mashujaa walikuwa wanapoteza muda.
Usitake kila mtu aone ulivyoona wewe kwasababu tu ya bias zako

Wakati Ateba anafunga goli zilikuwa zimesalia dakika ngapi za nyongeza?
 
Ukishupaza shingo itakatika...
Uzuri mnajitafutia visukari na presha wenyewe...
 
Back
Top Bottom