Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Attachments

  • 1746214684437.jpg
    1746214684437.jpg
    285.2 KB · Views: 8
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo akauwa shambulio na kumaliza mechi

2 Kefa Kyombo alitoka penalty ya utata Kwa Mpanzu mechi dhidi ya Simba vs Tabora United

3 Kefa Kyombo ndo aliwapa Simba penalty ya utata dakika za mwisho
Mechi ya Simba vs JKT Tanzania

4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24😭😂

Karia na TFF yake wameamua kuwapa Simba ubingwa kibabe
View attachment 3322957View attachment 3323097View attachment 3323099View attachment 3323100
Umeumia bro?huu ndo ubaya ubwela,wakati gsm anamiliki timu nyingi ili yanga iwe inashinda kwa magoli lukuki.mbona kule zenji hamjafunga magoli mengi kama huku bara?ulishindwa kupitisha goli kwa mwarabu umekatwa fyuzi unatamba na kombe lako la muunganiko.ni ubaya ubwela tu
 
5imba aliyefungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anapata kiasi Gani kutoka GSM?
 
Penati ya utata ndio penati gani?

Maelezo kama haya ndio yaliyomfelisha na Simon Patrick huko CAS mpaka kaangukia pua.

Naskia mbele ya mahakama Simon Patrick alisema "TFF imeahirisha mechi kwasababu zenye utata"

Ndio maana mwamuzi wa kesi akaona ni ujinga na kuamua kuifuta.

Sasa kupitia malalamiko yako nenda tena kwa Simon Patrick kabla hajapoa mwambie kwa scenario hii hakuna namna mnaweza kuipoka alama Simba mkienda CAS.

Mfate saizi akiwa bado wamoto wamoto.

Nb "Maji yaliyotulia ndio yana vyura wengi"

Penati zote zilikua halali kabisa.
Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.
Ukweli Ile ilikua penati halali kabisa.
Ukitaka kujua uhalisia wake hebu tazama clip yake utaona reaction ya Shabalala na reaction za watazamaji waliokua nje uwanjani upande wa tukio jinsi walivyopiga kelele Kwa pamoja kuashiria kua yule jamaa wa mashujaa aliunawa mpira.
 
Uongo na unafiki itakusaidia nini?
 
5imba aliyefungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anapata kiasi Gani kutoka GSM?
Hapo ulinishenyeta,mkuu sijui uliwai nifunga izo lini tena,mbona nakushenyetaga 4,sita na sijawai weka bango?tofauti ni hii tulia nkuletee kombe la shirikisho.hii imeeeenda,aki hiii imeenda
 
Back
Top Bottom