Reasons Why I love CACICO

Reasons Why I love CACICO

inabidi kupanga mpango mkakati wa kumkagua huyu, subiri nicheki kalenda then nimpangie tarehe
mke mwenza since when katiba unaipanga wewe??? Hakaguliwi mtu, nimerudi mwenyewe! Haihuuuuuuu kuleta watu wasio na tbs kwenye damu yetu, ebo!
 
Kweli 'umefufuka kama ulivyosema' shemeji cacico, heee Asprin come zis way uonepo wokovu umekuja nyumbani kwako leo! na watu wote mseme AMEN! khaaa
haachwi mtu hapa! hata wanafunzi wake mwalimu gfsonwin walipokuwa barazani, upepo mkali ulivuma na ghafla cacico alirudi kwa mumewe mpendwa Asprin, baadhi ya wanafunzi wenye visirani na hasira walikunywa sumu, wengine walimeza viwembe, wengine waliwahi ocean road kuanza kudeki BAHARI!! wote semeni AMEN!
 
Last edited by a moderator:
shemeji hapa nafungasha kwenda kwa babu, nataka pua ya Bujibuji ihamie kisogoni....haiwezekani aharibu faivusamu
Achana na mambo ya waganga bwana.
Kuna jamaa baada ya kutapeliwa sana na waganga, akaamua kazi ni moja. Ni kutembea na panga, rungu kisu, mikuki na gobole.
Akamfuata mganga mwingine akiwa na hizo zana zake za mashambulizi, akamwambia mganga "hebu eleza fasta,maana nimetapeliwa sana, je wewe ni mganga kweli au magumashi?"
Mganga akajibu "Blaza, ngoja tu niongee ukweli, mimi taaluma yangu ni konda wa daladala, huku naganga njaa tu"
 
Back
Top Bottom