Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
na siku ya tatu akafufuka!! Bujibuji dear, nakukabidhi Zion Daughter rasmi!! mpaka kifo kitakapowatengenisha! naomba jamvi zima liseme AMEN!
Hapa naona kimeumana tayari...
na siku ya tatu akafufuka!! Bujibuji dear, nakukabidhi Zion Daughter rasmi!! mpaka kifo kitakapowatengenisha! naomba jamvi zima liseme AMEN!
akasema !YAMETIMIA!baada ya kusema hayo, ODM akainamisha kichwa chake chini, akaisalimisha roho yake,,,
na tazama, pazia la chit chat likapasuka vipande viwili, na wale wanafunzi wake wakastaajabu jambo hilo. na Yule mwanafunzi wake aliyempenda akiitwa snowhite, akaondoka kwa huzuni
Wamekumiss, wanataka kwenda rudys jumapili kula ile makitu, lol! twende basi, khaaaaaaa!Mi mzima sana, wanasemaje wale 3C?
wamejaa tele, vuta subira hapo nje kwa shoe shiner utawaona wanapita, ndio haswaaaaaa mida yao hii!
umepatwa na ganzi ya kuibiwa mke hubby! zinduka basi, meli ya dubai ndiyo hiyoooooo inapiga horn! STUKA HUBBY, think!!Hebu msamaria mwema mmoja ajitokeze na kumwambia ODM kinachojiri kwenye huu ukumbi.
Mi bado akili yangu haijarudi mahali pake
Hebu msamaria mwema mmoja ajitokeze na kumwambia ODM kinachojiri kwenye huu ukumbi.
Mi bado akili yangu haijarudi mahali pake
bora umeona mbali aiseeeee!Keizer nikirudi kwa Bishanga nahisi sitaweza kuurithi ufalme wa mbingu