kuna mtu hakika anapumulia hirizi humu ndani si bure!
nani mgeni?? Kama nikiolewa hii itakuwa ndoa ya tatu! Huoni ka nshakubuhu???
hatapeliwi mtu wala kidudu mtubuji usha anza utapeli wako, hebu muache mtoto wa watu, bado mgeni hapa jamvini, usituharibie