Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Ohooo...... kumbe Baba V kazi yake kutangaza ndoa? Hivi kumbe cacico ndo kishaolewa na buji? Nlifikiri ndo wako hatua ya uchumba.
Nipigieeeee..... mchumba wangu nipigieeeeee!!
Hapana honey. Nahitaji mwongozo wako bana.hivi hubby huyu marry mwenyewe ushamkagua?
Hapana honey. Nahitaji mwongozo wako bana.
Kaizer umenivunja mbavu, nimechekaaaaaaaaaaaaaaa! huna akili wallahi, hubby siwezi KUMUACHA NG'O! JANANA NILIKUWA MWEZI MCHANGA JAMANI MNISAMEHE, ILA BABU WANGU MPAKA KIAMA!baada ya kusema hayo, ODM akainamisha kichwa chake chini, akaisalimisha roho yake,,,
na tazama, pazia la chit chat likapasuka vipande viwili, na wale wanafunzi wake wakastaajabu jambo hilo. na Yule mwanafunzi wake aliyempenda akiitwa snowhite, akaondoka kwa huzuni
Ni nani zaidi ya muda?
shakmoo Bishanga! kamweeeee siwezi kumuacha Asprin wangu jamani!poor Aspirin,kila siku nasema mianamike ina rooo mbaya hamsikii,ona sasa,mimi ndo natoka mwananyamala ICU kumpelekea asprin uji,presha yake 280/120 just imagine,we cacico wewe juu ya nin unamtenda baba wa watu? Unatema big gee kwa karanga za kuonjeshwa?
Zion Daughter mzima?? mpigie uniombee msamaha! ni laana kuachana na mume wa ujanani jamani!! mi luv my Asprin uwiiiiiiiiiiiii naweza kufa mjue!Leo unamkumbuka mchumba kwa kuwa umetendwa? ...
Uniache nipumuwe...
sikupigiiii haniiiiiiiiiiii!!!
kwa msala upi shemeji! visarata wa mtaa mi nawajua ndani nje!! wananusa na kusepa, ukimsogelea tu, mkono kwenye chuchu! chezeiya wapembuzi weye!! muiteni Asprin hapa nimuombe msamaha mbele ya jamvi zima, na wote mseme AMEN!
infact yupo juu kupita twin towers!! Nampendajeeeeee?? Leo nitaongeza mapenzi mpaka akinai, ngoja aje ndani!nashangaa miye! Hapana chezeya jiyo makitu! Odm on toooop of the game
hivi hubby huyu marry mwenyewe ushamkagua?
Hubby wangu, bby wangu, sweetheart, lover, darling wangu am sosososoo SORRY kukurusha roho jana, KUMBE unanipenda eeeeee??? NILIKUWA NAKUPIMA TU HUBBY! NAKUPENDA BANA SIKUACHI NG'O! MWENYE HASIRA JUU YETU AKADEKI BAHARI!!:glasses-nerdy:
:confused2:
:shut-mouth:
:nimekataa
😛op2:
Nyie wote hapo juu nawashukuru kwa kujali maslahi yangu.... Lakini hebu angalieni wenyewe hapa chini....
Mie pia nlifikiri masihara, lakini hebu someni hapa chini tena
Well, well well..........
Wanaume tumeumbiwa mateso na kuhangaika......
Asiyekubali kushindwa si mpinzani.
Imeniuma sana lakini hamna jinsi, wakati mwingine tunalazimika kuchukua maamuzi magumu.:A S 100:
kwa msala upi shemeji! visarata wa mtaa mi nawajua ndani nje!! wananusa na kusepa, ukimsogelea tu, mkono kwenye chuchu! chezeiya wapembuzi weye!! muiteni Asprin hapa nimuombe msamaha mbele ya jamvi zima, na wote mseme AMEN!
Hubby wangu, bby wangu, sweetheart, lover, darling wangu am sosososoo SORRY kukurusha roho jana, KUMBE unanipenda eeeeee??? NILIKUWA NAKUPIMA TU HUBBY! NAKUPENDA BANA SIKUACHI NG'O! MWENYE HASIRA JUU YETU AKADEKI BAHARI!!