Matokeo hayashangazi sana , cha kumlaumu kocha ni kumpanga Alaba , kutomruhusu Vini kucheza full left wing until is too late badala yake mda mwingi amecheza akiwa ndani ,
ukweli ni kwamba Madrid ina tatizo la defence na hasa mid , kwa sasa kwenye mid ni empty kabisa , hakuna link nzuri kati ya attacking na mid , Tchouamen na Cebballos somehow wamesaidia sana miez mitatu iliyopita ila wote kwa sasa ni pancha , Hata Bernabeu sioni comeback yyte , Hakuna Mid ya kusaidia hyo miujiza, Madrid ameaga mashindano , kikubwa hapo ni kubadri kocha na kuuza baadhi ya wachezaji garasa!!! msimu mbaya huu