Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Narudia tena, kuna wathenge wanaichezea Real madrid lakini sio levels za madrid kabisa, vichaa kama Tchouameni, Camavinga, Rodrygo, Alaba na wengineo. watu kazi na mafundi kama Florian Wirtz, Alexis MacAllister, Federico Dimarco, Alessandro Bastoni ndio type za kwenda kukichafua pale Berk
kweli leo wirtz akacheza real madrid embu acha dharau basi
 
Narudia tena, kuna wathenge wanaichezea Real madrid lakini sio levels za madrid kabisa, vichaa kama Tchouameni, Camavinga, Rodrygo, Alaba na wengineo. watu kazi na mafundi kama Florian Wirtz, Alexis MacAllister, Federico Dimarco, Alessandro Bastoni ndio type za kwenda kukichafua pale Bernabeu
Ancelloti tulia🤣🤣
 
Nilidhani nitafurahi mkipigwa, badala yake nimejikuta nasikitika asee. Mmeichafua sana reputation ya Laliga. Team yoyote inayojielewa inanyanyaswa vipi na Arsenal?

Kama kuna mtu amemuona Vinicious akikaba hata mara moja tu, aniwekee video hapa nione. Muda wote mlipokua mnashambuliwa, nilimuona akiwa anatembea tu. Na sio mechi moja au mbili. Endeleeni kumuaminisha yeye ni mchezaji bora duniani, mtavuna mnachopanda.
wewweee, em rudia hiyo kauli ya mwishoni angalau huenda punda weupe wakaelewa
 
Matokeo hayashangazi sana , cha kumlaumu kocha ni kumpanga Alaba , kutomruhusu Vini kucheza full left wing until is too late badala yake mda mwingi amecheza akiwa ndani ,

ukweli ni kwamba Madrid ina tatizo la defence na hasa mid , kwa sasa kwenye mid ni empty kabisa , hakuna link nzuri kati ya attacking na mid , Tchouamen na Cebballos somehow wamesaidia sana miez mitatu iliyopita ila wote kwa sasa ni pancha , Hata Bernabeu sioni comeback yyte , Hakuna Mid ya kusaidia hyo miujiza, Madrid ameaga mashindano , kikubwa hapo ni kubadri kocha na kuuza baadhi ya wachezaji garasa!!! msimu mbaya huu
 
Matokeo hayashangazi sana , cha kumlaumu kocha ni kumpanga Alaba , kutomruhusu Vini kucheza full left wing until is too late badala yake mda mwingi amecheza akiwa ndani ,

ukweli ni kwamba Madrid ina tatizo la defence na hasa mid , kwa sasa kwenye mid ni empty kabisa , hakuna link nzuri kati ya attacking na mid , Tchouamen na Cebballos somehow wakesaidia sana miez mitatu iliyopita ila wote kwa sasa ni pancha , Hata Bernabeu sioni comeback yyte , Hakuna Mid ya kusaifia hyo miujiza
kuna ulazima valverde arudishwe kati
 
Back
Top Bottom