Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

20250408_235714.jpg
 
baba yenu kaenda kuulizia bei yake huyo dogo, ametajiwa 140 million euros, ila bado hajakata tamaa. Kama tchouameni na camavinga wanaichezea madrid, babu modric leo first eleven kabisa, why not kwa florian wirtz?. Au nitajie takataka yeyote pale madrid ambayo ni brilliant over wirtz
usnitajie mimi upuzi uwo uyo camavinga na tchouameni nenda sokoni kaulize bei yake ndio utajua kama nitakataka au wachezaji
 
vin ana champions leauge mbili hadi apo alipofikia ana tuzo ya mchezaji bora wa FIFA wa mwaka wewe wachezaji wako wa kombe la carabao wamewahi kushinda kitu kwenye mpira
hata joe gomez na divock origi, mason mount, jorginho, na takataka yenu Fran Garcia nao ni champions league winners pia. Jimie pavard ni world cup winner ambayo vini na LODIRIGO hawana vipi is he the best kuliko vini na takataka rodirigo?
 
aya izo taka taka zako zikina rice na saka ata vikombe vya ndondo tu hawana si bora wakauze vitumba na uji au wewe unaonaje
 
Matokeo hayashangazi sana , cha kumlaumu kocha ni kumpanga Alaba , kutomruhusu Vini kucheza full left wing until is too late badala yake mda mwingi amecheza akiwa ndani ,

ukweli ni kwamba Madrid ina tatizo la defence na hasa mid , kwa sasa kwenye mid ni empty kabisa , hakuna link nzuri kati ya attacking na mid , Tchouamen na Cebballos somehow wamesaidia sana miez mitatu iliyopita ila wote kwa sasa ni pancha , Hata Bernabeu sioni comeback yyte , Hakuna Mid ya kusaidia hyo miujiza, Madrid ameaga mashindano , kikubwa hapo ni kubadri kocha na kuuza baadhi ya wachezaji garasa!!! msimu mbaya huu
Well said Papa Perez avunje kibubu atafute watu wa kazi
 
kichaa kabisa wewe nenda transfer market tuone kama hutorudi mbio mbio, bei ya Florian Wirtz unapata Camavinga wawili. Tchouameni market value yake ni 80 million euros
Ni kweli mkuu! Kuna vyuma vina gharama ndogo! Tunapata hata 40 Million na wengine wenye potential kwa 25 Million
 
aya izo taka taka zako zikina rice na saka ata vikombe vya ndondo tu hawana si bora wakauze vitumba na uji au wewe unaonaje
mchezaji kuchukuwa kikombe flani haimaanishi kuwa yeye ni bora, nicolas tagliafico na lisandro martinez wa argentina wana world cup, je wao ni bora kuliko Vini?. tumia akili basi, au free kick za Rice zimekuvuruga?
 
Ni kweli mkuu! Kuna vyuma vina gharama ndogo! Tunapata hata 40 Million na wengine wenye potential kwa 25 Million
the likes of Dean Huijsein ambaye anapatikana kwa 42 m tu. perez anamtaka kwa udi na uvumba huyu dogo na sio kukaa na feran mendy. Millitao kila siku hospital kama mjamzito
 
mistake kubwa tuliyoifanya ni kushindwa ata kufunga goli moja ila mimi na amini nafasi bado tunayo
Hakuna Madrid ya kufunga arsenal goli mbili bila achana na tatu ,arsenal wamefundishika wanacheza vitu vinavyoeleweka nitajie team iliyoifunga arsenal goli tatu msimu 2024/2025 ?mpira una njia zake Madrid ata akicheza mechi kumi Kwa wachezaji wake hawa wakina Madric Babu hawawezi kuifunga arsenal .
 
Back
Top Bottom