Yaani unapocheza na timu aina ya Arsenal hutakiwi kabisa kuruhusu Kila mara kiungo wa chini achukue mpira free kabisa na kupeleka mbele kirahisi, sijajua ni maelekezo ya kocha ama Nini, lakini kule mbele walitakiwa wapress kweli kweli. Hutakiwi kabisa kuipa timu kama Arsenal utulivu wa kupiga pasi sahihi Kila wakati, Madrid wafanye michakato tu wa kuimarisha kiungo Chao na beki zao mbili moja ya kati nyingine shavu la kulia, msimu watauanza vizuri.