Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

VINICIUS JR HAS EQUALIZED!! Real Madrid 1-1 Valencia

1743868587154.gif
 
Tactics za Carlo wakati mwingine huwa zinatuathiri sana, imagine Endrick ni striker ila anacheza chini sana., nini anashindwa kucheza line moja na Mbappe?
 
Huu msimu uishe tu,babu carlo atuachie timu,huu uchezaji tukikutana na timu yenye kupiga counter na vijana wenye speed tutakula kuanzia 4 kupanda juu.
 
Kweli kabisa man, La liga tumeiachia hapa leo., tuna- struggle sana kutengeneza magoli., team inacheza slow, kila kitu kipo ovyo.
 
Hiki kipigo kilikuwa kinakuja tuu...team ina leak magoli kila mechi bwana
Kwa namna hii tukikutana tena na mtani anatupiga nyingine 5,timu utasema ina wazee wote,wachezaji hawana speed,recovery zero kabisa...mtu anapoteza mpira anashika kiuno,tuna vijana wana umri mdogo ila wote maboss humo ndani,wanamtegemea Velverde ndio awakabie,na huyu Alaba uwezo wake ushashuka mnoo,hawez kunusa hatar ili kufanya marking...zaidi atajifunga...hii mechi ndio ilikuwa inatuweka karibu na ubingwa,ila kwa sasa hapa ishakula kwetu.
 
Kweli kabisa man, La liga tumeiachia hapa leo., tuna- struggle sana kutengeneza magoli., team inacheza slow, kila kitu kipo ovyo.
Kabisa Kabisa mdau,hapa ndio tumeshadondosha ubingwa wa Ligi,focus iwe kule UCL na Copa de,ila sasa kule mtihani tunao kwa Barca,kote wapo...kwa uchezaji huu tukikutana nao tena wanatuweka 5 tano,huwez kuwa na timu inayocheza hovyo,slow kama vile wameamkia wote club.
 
Kenge wakubwa nyie safi sana eti mchukue laliga forwad Endrick 🤣🤣🤣🤣🤣

Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Kwa namna hii tukikutana tena na mtani anatupiga nyingine 5,timu utasema ina wazee wote,wachezaji hawana speed,recovery zero kabisa...mtu anapoteza mpira anashika kiuno,tuna vijana wana umri mdogo ila wote maboss humo ndani,wanamtegemea Velverde ndio awakabie,na huyu Alaba uwezo wake ushashuka mnoo,hawez kunusa hatar ili kufanya marking...zaidi atajifunga...hii mechi ndio ilikuwa inatuweka karibu na ubingwa,ila kwa sasa hapa ishakula kwetu.
Leo ligi ya england na hispania zimeamuliwa
 
Kenge wakubwa nyie safi sana eti mchukue laliga forwad Endrick 🤣🤣🤣🤣🤣

Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm
 
Hii sub ya kumtoa MODRIC halafu unamuingiza ENDRICK kiukweli ni floop kubwa kinyama! Hii game angeimaliza MODRIC tungeshinda
 
Nadhani madrid ina average players wenye majina makubwa pia wachezaji wengi wamedrop kiwango na kauchoyo flani
kila ninapowaambia washkaji zangu maskani hawataki kuniamini,. kwa mfano Tchouameni na Camavinga wanaimbwa sana ila sio quality za Los Blancos kabisa, watoto ambao hawapo serious, walaini kama yule Rodrygo imekuwaje mpaka anaichezea Club of the universe!!?. Fede Valverde is my only pick at real madrid. ANGALIZO msipokuwa makini 11th may tunaweza watia 5 tena
 
Wakienda na Mentality kama ya mchezo wa leo! Raphina anawaweka hat trick mapema sana
 
Back
Top Bottom