Tatizo la Real namba 4, 3, 6 na kocha nashangaa ata hana mpango wa kusajiliHakuna miracle kwenye football viungo camavinga touchamen valvede mchukue uefa ,uefa ipi ?na hapo Bado arsenal anawakanda nje ndani ,team haieleweki inacheza mfumo upi watu wanakimbia kimbia kama vibaka.
We sio shabiki wa mpira jaribu mapenzi🤬🤬🤬mtu unaweza pasua TV...ngoja nkajaribu kutafuta usingizi..ntakutana na matokeo asbh..upumbavu kabisa tunacheza leo...utasema timu imetoka kulala kwa wanawake wanaojiuza bhana...haipandi mbele,hakuna anayeweza punguza hata mchezaji mmoja...a lot of backpasses maninaa..🤬🤬🤬🤬
mechi haijaisha jhii mbuzi wewePakiti tayari pumbavu ww
nusu tunaenda kikubwa uzima tu tarehe 16 sio mbaliBado naamini madrid anatolia nusu final
hamna mchezaji apo leo majini yake yameamka vizuri tu
uyo barcelona anaenda wapi wewe unawachukuliaje inter milan mzee walee wa italiano msimu huu fainali wanachezaMnamkimbiaje Barcelona kirahisi namna hii ,tafuteni wachezaji wakueleweka hawa wakina Jude,chuameni ,valvede,camavinga hakuna mnapofika.Team Kwa sasa hakuna anaye control game ni kukimbia kama kuku wa kienyeji wamefunguliwa
Hakuna neno tutakutanauyo barcelona anaenda wapi wewe unawachukuliaje inter milan mzee walee wa italiano msimu huu fainali wanacheza
Mkuu na wewe ni mshabiki wa arsenal?
Endeleeni kumuaminisha yeye ni mchezaji bora duniani, mtavuna mnachopanda😂😂🤣😁.Nilidhani nitafurahi mkipigwa, badala yake nimejikuta nasikitika asee. Mmeichafua sana reputation ya Laliga. Team yoyote inayojielewa inanyanyaswa vipi na Arsenal?
Kama kuna mtu amemuona Vinicious akikaba hata mara moja tu, aniwekee video hapa nione. Muda wote mlipokua mnashambuliwa, nilimuona akiwa anatembea tu. Na sio mechi moja au mbili. Endeleeni kumuaminisha yeye ni mchezaji bora duniani, mtavuna mnachopanda.
Kwa mbaaaaaaaali halafu nimechoshwa na Madrid kuchukuwa Uefa kila mwakaMkuu na wewe ni mshabiki wa arsenal?
bigwa wa uefa msimu anatoka kwa hawa jamaa wa tatu real maddrid psg na inter milan na kama real madrid atatoka inter milan bigwaHakuna neno tutakutana