Pale alimuonyesha golikipa kabisa mahali alikuwa anaweka ule mpira.Mbape angekuwa mkini sasa hivi tungekuwa tunaongoza
Score 808.comTunaombeni link jamani?
Yaani hii game ni ya kumpasua kweli ArsenalNafasi ile ya awali aliyokosa Vini Jr na baadae Mbape kwa kwel zinaumiza.
DaahMtani unapelekewa moto mpaka huruma.
Pakiti tayari pumbavu wwarsenal tunamuondoa robo fainali kwa sababu tatu sababu ya kwanza arsenal hawezi kutufunga zaidi ya goli tatu akijitaidi sana ni goli mbili na pia mechi za hivi karibuni amekua akiruhusu sana magoli cha pili real madrid tuunauwezo mkubwa sana wa ku funga magoli ni ngumu sana kuwazuia hawa watu wanne kukufunga goli vin,rodrygo,mbappe,belligam na diaz msimu huu ata game nyingi tulizopoteza bado tulikua tunaowezo wa kufunga goli ata kama ni moja au mbili pamoja na kwamba tunashida kubwa ya kiulizi msimu huu ila naamini arsenal shughuliake imeisha na shughuli yote inaenda kuishia benarbeue
Tatizo la Real namba 4, 3, 6 na kocha nashangaa ata hana mpango wa kusajiliHakuna miracle kwenye football viungo camavinga touchamen valvede mchukue uefa ,uefa ipi ?na hapo Bado arsenal anawakanda nje ndani ,team haieleweki inacheza mfumo upi watu wanakimbia kimbia kama vibaka.