Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mnajifariji tu lakini kumkosa Rodri kwenu ni maumivu sana.

Mshindwe kumtesa Pedri na De Jong ndo mje mumtese Rodri na Pedri ikiwa atasajiliwa sahauni kuhusu ilo.

Nyie gugumieni maumivu kimya kimya.
Unachoandika unakielewa? Huyo Pedri kateswa mara ngapi mpaka anafanya kuvuta jezi?

Hakuna anaejifariji kama Perez angemuhitaji asingechelewesha dili lake.
 
Huyo Pedri kateswa mara ngapi mpaka anafanya kuvuta jezi?
We endelea kuleta utoto kwenye vitu serious.

Yani kwenye game sita za mwisho nimekudunda mara tano we unaleta utoto wa Pedri kuvuta jezi.

Na msipotatua tatizo lenu la kiungo tutaendelea kuwakanda vizuri tu licha ya usajili wenu wa nguvu.

Mimi nasubiri La Liga ianze tuone itakuwaje.
 
Wakumbushe mbappe tokea Akutane na lamine ameshinda mara 1 tu.
 
We endelea kuleta utoto kwenye vitu serious.

Yani kwenye game sita za mwisho nimekudunda mara tano we unaleta utoto wa Pedri kuvuta jezi.

Na msipotatua tatizo lenu la kiungo tutaendelea kuwakanda vizuri tu licha ya usajili wenu wa nguvu.

Mimi nasubiri La Liga ianze tuone itakuwaje.
Mkuu unamatatizo binafsi au hutaki kukubaliana na ukweli kuwa Pedri ni moja ya wachezaji ambao ni overrated, mlifikia hatua hadi ya kumfananisha na Jude.

Madrid kuwa mbovu upande wa kiungo ndo kitu kilichofanya upande wako wa kiungo uonekane bora.
 
mlifikia hatua hadi ya kumfananisha na Jude.
Acha uongo wewe.

Hakuna mtu wa Barca aliyemananisha Pedri na Jude.Zaidi ya kufunga migoli Jude ana kipi cha maana cha kumzidi Pedri?

Mnapata tabu msimu wa 2 mfulilizo hata kikombe cha njiwa mmeshindwa kuchukua halafu unakuja kuongelea ubora wa Jude na Pedri!

Mtu yoyote wa football na anayeuelewa mpira umuwekee pedri na Jude umwambie achague mmoja basi kichaa tu ndo atakayechagua Jude.

Acha kumfananisha mtu anayeujua mpira Pedri na takataka nyingine zinazokimbia majukumu yake na kukaa juu kuvizia magoli.

Huyo papaa wenu Perez kutwa kucha anamuwaza Pedri na mpaka kumsajili anataka halafu wewe unakuja kuleta utoto wako.

Madrid kuwa mbovu upande wa kiungo ndo kitu kilichofanya upande wako wa kiungo uonekane bora.
Wewe leta viungo wako acha longolongo.

Viungo wako ndo hao kina Yuda hata majukumu yake ya msingi anayakimbia halafu ukikosa makombe unaona kama unaonewa kumbe mna tatizo la msingi na hamtaki kulifanyia utatuzi.
 
Acha uongo wewe.

Hakuna mtu wa Barca aliyemananisha Pedri na Jude.Zaidi ya kufunga migoli Jude ana kipi cha maana cha kumzidi Pedri?

Mnapata tabu msimu wa 2 mfulilizo hata kikombe cha njiwa mmeshindwa kuchukua halafu unakuja kuongelea ubora wa Jude na Pedri!

Mtu yoyote wa football na anayeuelewa mpira umuwekee pedri na Jude umwambie achague mmoja basi kichaa tu ndo atakayechagua Jude.

Acha kumfananisha mtu anayeujua mpira Pedri na takataka nyingine zinazokimbia majukumu yake na kukaa juu kuvizia magoli.

Huyo papaa wenu Perez kutwa kucha anamuwaza Pedri na mpaka kumsajili anataka halafu wewe unakuja kuleta utoto wako.

Wewe leta viungo wako acha longolongo.

Viungo wako ndo hao kina Yuda hata majukumu yake ya msingi anayakimbia halafu ukikosa makombe unaona kama unaonewa kumbe mna tatizo la msingi na hamtaki kulifanyia utatuzi.
We jamaa unamatatizo siyo bure embu niletee stats za Pedri za Laliga msimu uliopita halafu nikuwekee za Jude. Acha kujifanya mjuaji sana, ni wewe ndo unaesema Pedri hajawahi fananishwa na Jude.

Kuhusu Jude kuonekana juu ya goli hiyo ndo aina ya uchezaji wake na wala siyo kukimbia majukumu lakini licha ya yote still bado amefanya kazi kama kiungo wakati wa kushambulia na kuzuia kitu ambacho Pedri hawezi fanya.

Kwenye misimu ya hivi karibuni Madrid imekosa kiungo maestro tu.

Pedri ni kiungo mzuri wakati timu inamiliki mpira na siyo wakati inatafuta mpira na hili hata wewe unalijua labda ulete ubishi wa kijiweni.

Leta stats za Pedri hapa wakati wa timu ikiwa inamiliki mpira na wakati timu ikiwa haina mpira siyo unaongea ngonjera tu bila data.
 
We jamaa unamatatizo siyo bure embu niletee stats za Pedri za Laliga msimu uliopita halafu nikuwekee za Jude
Kabla ya kukuwekea stats za Pedri na Jude tukubaliane jambo moja.

Ubora wa mchezaji unaamuliwa na stats na sio vinginevyo.

Tukishakubaliana jambo ilo tutaendelea.
 
wewe ndo unaesema Pedri hajawahi fananishwa na Jude.
Sisi watu wa mpira na wakatalunya hatujawai kumfananisha Yuda na Pedri.

Kumfananisha Pedri na Yuda ni kumvunjia heshima Pedri ndoto ya Perez ambaye haishi kumuota.

Kwa kukuthibitishia ilo niwekee ushahidi iwe mimi au mwana Barcelona yoyote anayeanza kumfananisha Pedri na Yuda.

Uwa mara nyingi wachezaji wetu ndio wanafananishwa na wachezaji wengine na sio Pedri tu hata kina Yamal ni hivyo hivyo.

Kwa Yamal mlianza na Wilian wa Chelsea mkasema ni bora kuliko Yamal alivyopoteana mkaamia kwa Doue alivyopoteana mkaamia kwa Olise.

Nakukumbusha tu.

Huu ni msimu wa pili mfululizo hauna hata kikombe cha uji.
 
Kabla ya kukuwekea stats za Pedri na Jude tukubaliane jambo moja.

Ubora wa mchezaji unaamuliwa na stats na sio vinginevyo.

Tukishakubaliana jambo ilo tutaendelea.
Ipo hivyo na ndiyomaana nikakwambia niwekee stats zake.
 
Sisi watu wa mpira na wakatalunya hatujawai kumfananisha Yuda na Pedri.

Kumfananisha Pedri na Yuda ni kumvunjia heshima Pedri ndoto ya Perez ambaye haishi kumuota.

Kwa kukuthibitishia ilo niwekee ushahidi iwe mimi au mwana Barcelona yoyote anayeanza kumfananisha Pedri na Yuda.

Uwa mara nyingi wachezaji wetu ndio wanafananishwa na wachezaji wengine na sio Pedri tu hata kina Yamal ni hivyo hivyo.

Kwa Yamal mlianza na Wilian wa Chelsea mkasema ni bora kuliko Yamal alivyopoteana mkaamia kwa Doue alivyopoteana mkaamia kwa Olise.

Nakukumbusha tu.

Huu ni msimu wa pili mfululizo hauna hata kikombe cha uji.
Uzuri ni kwamba sijapinga uwezo wa Pedri na nimesema kabisa uzuri wake upo wakati timu ikiwa inamiliki mpira na siyo wakati inatafuta mpira kama utakua kinyume na hili basi hii itakua ni binafsi sasa na siyo kimpira.

Khalas 🙌
 
Back
Top Bottom