Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwenye usijili perez asiahau eneo la kiungo kabisa, Camavinga, tchou wameshuka bmviwango na hata wakiwa kwenye viwango vyao bmvya juu hakuna kikubwa wacho-offer.

Tchou sio tatizo kabisa kwenye timu, ni katika best DM in the world. tatizo letu lipo kwenye CM na AM. Valverde na Belingham hawafanyi majukumu yao vizuri kwenye hizo position. wapo very hardworking ila wanakosa ile intelligence ya ki midfield.
 
Tumerudi kwanye la liga sasa, kikosi hiki hapa cha leo
 

Attachments

  • FB_IMG_1744548032271.jpg
    FB_IMG_1744548032271.jpg
    83.3 KB · Views: 28
Kwa hii madrid bora tutolewe na Arsenal ili tujipange na la lliga au copa de Ley...

Huko mbele tutapata aibu tu Hatuna timu ya kuchua uefa.
 
Kwa hii madrid bora tutolewe na Arsenal ili tujipange na alligator au copa de Ley...

Huko mbele tutapata aibu tu Hatuna timu ya kuchua uefa.

Hakuna ubora kwenye kutolewa, with Ceballos na Tchomein tuatapata balance nzuri katikati, Ila nafasi ya kusonga mbele ni almost 0%. sioni tukitoboa.
 
Kesho tunahitaji 2000%+ ya wachezaji wetu kujitoa,kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho with high accuracy katika kila matukio,ninaona ona Alaba anapigiwa chapuo aanze kushoto,but for me ninapendekeza aanze Fran Garcia mbele ya Alaba,kwa sababu Fran Garcia ana kasi yakupanda mbele nakurudi kwa haraka sana..na kingine kesho hatutaki abiria ndani mule,habar ya watu wanapoteza mpira wanatembea siyo,yaan mechi ya kesho ndio tutajua watu wakuendelea nao msimu ujao au kuacha,siyo unakuwa na wachezaji wengi vijana ila average players...ukiangalia hata ile first leg siyo kuwa tulizidiwa sanaaa technicaly,hapana...kwa sababu goals tumefungwa ni mipira iliyokufa ambayo ukiangalia vizuri ni makosa ya kipa kupanga ukuta wake na yeye kujipanga,goal la tatu ndio ambalo tumefungwa kiufundi na hapo ni kwa sababu beki wanategeana,hakuna anayeongoza wenzake pale nyuma..kule mbele ni kama kila mtu alivyotoka nyumban alikuwa amedhamiria lazima afunge,uchoyo kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom