nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Jan 11, 2012 #81 Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Jan 11, 2012 #82 nitonye said: Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa Click to expand... Hahahahahahahahaah!!!
nitonye said: Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa Click to expand... Hahahahahahahahaah!!!
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #83 Ni ujinga kukaa seat ya mbele kny daladala alafu unaanza kugeuka kumwambia konda unaposhukia badala ya kumwambia dereva uliyekaa nae mbele..
Ni ujinga kukaa seat ya mbele kny daladala alafu unaanza kugeuka kumwambia konda unaposhukia badala ya kumwambia dereva uliyekaa nae mbele..
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #84 ni ujinga kumsimamisha msichana unaetaka kumtongoza alafu unaanza kwa kumwambia, cjui nimekufananisha???
ni ujinga kumsimamisha msichana unaetaka kumtongoza alafu unaanza kwa kumwambia, cjui nimekufananisha???
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Jan 11, 2012 #85 Ujinga ni mtu anakubeep unaamua kumpigia unasema haloo anakuuliza wewe nani, nyambafu mkubwa
I ivy blue carter Senior Member Joined Jan 10, 2012 Posts 119 Reaction score 27 Jan 11, 2012 #86 ni ujinga tena uliopitiliza kwa m2 mzima na akili zake afu ana kubeep hata mara 30 uko.
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,125 Reaction score 13,743 Jan 11, 2012 #87 Wambuzi said: Ni ujinga kukaa seat ya mbele kny daladala alafu unaanza kugeuka kumwambia konda unaposhukia badala ya kumwambia dereva uliyekaa nae mbele.. Click to expand... Huu ni ujinga haswa..
Wambuzi said: Ni ujinga kukaa seat ya mbele kny daladala alafu unaanza kugeuka kumwambia konda unaposhukia badala ya kumwambia dereva uliyekaa nae mbele.. Click to expand... Huu ni ujinga haswa..
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jan 11, 2012 #88 Ujinga ni kuua kunguni kwa kidole halafu ukanusa (huku ukijua kuwa harufu ya kunguni siku zote ni ile ile)
Ujinga ni kuua kunguni kwa kidole halafu ukanusa (huku ukijua kuwa harufu ya kunguni siku zote ni ile ile)
A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 Jan 11, 2012 #89 Ujinga ni kumuita mtoto wako mmoja John, mwingine Yohana ilihali yote ni sawa tu, au Mathew mwingine Mathayo
Ujinga ni kumuita mtoto wako mmoja John, mwingine Yohana ilihali yote ni sawa tu, au Mathew mwingine Mathayo
Rosweeter JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 1,172 Reaction score 4,435 Jan 11, 2012 #90 Wambuzi said: Wangu bado haujsemwa mamito... Ukisemwa ntakuPM ctautaja hdharani.. Click to expand... Usijali uanike tu hadharani tuujue. Teheeeeeeee............
Wambuzi said: Wangu bado haujsemwa mamito... Ukisemwa ntakuPM ctautaja hdharani.. Click to expand... Usijali uanike tu hadharani tuujue. Teheeeeeeee............
Rosweeter JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 1,172 Reaction score 4,435 Jan 11, 2012 #91 Wambuzi said: ujinga nikufungua bar na kukosa jiko walau la mchemsho wa makongoro Click to expand... Milevi utakijua tu
Wambuzi said: ujinga nikufungua bar na kukosa jiko walau la mchemsho wa makongoro Click to expand... Milevi utakijua tu
Rosweeter JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 1,172 Reaction score 4,435 Jan 11, 2012 #92 nitonye said: Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa Click to expand... Tena imeandikwa mbele na ubavuni
nitonye said: Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa Click to expand... Tena imeandikwa mbele na ubavuni
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Jan 11, 2012 #93 chapaa said: ni ujinga kuwaambia wanainchi wapige mbizi wakati wewe ni kiongozi wao Click to expand... huyu jamaa ni ovyo kweli halafu si ndo tunamlipa
chapaa said: ni ujinga kuwaambia wanainchi wapige mbizi wakati wewe ni kiongozi wao Click to expand... huyu jamaa ni ovyo kweli halafu si ndo tunamlipa
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,708 Jan 11, 2012 #94 Ni ujinga kusema enzi za Nyerere mambo fulani hayakuwepo au mwalimu angekuwa hai mambo hayo yasingetokea...
Ni ujinga kusema enzi za Nyerere mambo fulani hayakuwepo au mwalimu angekuwa hai mambo hayo yasingetokea...
M MUMY A JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 234 Reaction score 39 Jan 11, 2012 #95 ujinga ni kuongea na simu kwa ishara wakati huyo unaeongea nae hakuoni....
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #96 MAMMAMIA said: Ujinga ni kuua kunguni kwa kidole halafu ukanusa (huku ukijua kuwa harufu ya kunguni siku zote ni ile ile) Click to expand... Inaonekana huko uliko kungun ni wa kutosha..
MAMMAMIA said: Ujinga ni kuua kunguni kwa kidole halafu ukanusa (huku ukijua kuwa harufu ya kunguni siku zote ni ile ile) Click to expand... Inaonekana huko uliko kungun ni wa kutosha..
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #97 Rosweeter said: Milevi utakijua tu Click to expand... Ha haa ha ha ha ha.. We Rosweter wewe.. Kribu bhana haapa Ilemela mwanza napata grants kidogo mie.
Rosweeter said: Milevi utakijua tu Click to expand... Ha haa ha ha ha ha.. We Rosweter wewe.. Kribu bhana haapa Ilemela mwanza napata grants kidogo mie.
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #98 MUMY A said: ujinga ni kuongea na simu kwa ishara wakati huyo unaeongea nae hakuoni.... Click to expand... Ujinga mwingine ni kuangalia salio kila unapokata simu ukiwa umetoka kupiga wewe
MUMY A said: ujinga ni kuongea na simu kwa ishara wakati huyo unaeongea nae hakuoni.... Click to expand... Ujinga mwingine ni kuangalia salio kila unapokata simu ukiwa umetoka kupiga wewe
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Jan 11, 2012 Thread starter #99 Bishop Hiluka said: Ni ujinga kusema enzi za Nyerere mambo fulani hayakuwepo au mwalimu angekuwa hai mambo hayo yasingetokea... Click to expand... Huo nao ni ujinga kweli
Bishop Hiluka said: Ni ujinga kusema enzi za Nyerere mambo fulani hayakuwepo au mwalimu angekuwa hai mambo hayo yasingetokea... Click to expand... Huo nao ni ujinga kweli
B bigambo Senior Member Joined Jul 30, 2007 Posts 109 Reaction score 10 Jan 11, 2012 #100 teh teh ial kuna kitu cha kutafakari hapo