Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 652
Hivi waliletwa na nani?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi.
Haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa.