RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

Tusilete ujinga wa kusema waende wapi, hawa kazi yao ilikuwa kutembeza bidhaa zao, hii kufunga Barabara, kuweka mbele ya maduka ya watu na kuwaharibia riziki zao, kutuchafulia mji, haikubaliki, ni lazima wafanye biashara kwa nidhamu.

Na Serekali lazima iwaangalie na kuwapangia pahali maalumu kwa kazi zao, hizo sehemu lazima ziwe rafiki kwa biashara ,sio kwenda kuwabwaga pahali hakuna biashara ama hapaendeki
 
28 January 2023
Dar es Salaam, Tanzania

RC MAKALLA APIGA MARUFUKU BIASHARA KWENYE BARABARA YA MWENDOKASI, ATAKA WAKAAZI WAPANDE MITI JIJI LIWE LA KIJANI

Asisitiza usafi na jiji la kijani kwa kupanda miti rafiki katika jiji la Dar es Salaam alipokuwa eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kusifia muitikio mkubwa wa wakaazi wa jiji hilo kubwa kiasi kuwa moja ya majiji safi Afrika na mlipuko wa gonjwa la kipindupindu umepita mbali na jiji la Dar es Salaam.
Source : Dar es Salaam RS Digital
 
28 January 2023

RC MAKALLA APIGA MARUFUKU BIASHARA KWENYE BARABARA YA MWENDOKASI

Asisitiza usafi na jiji la kijani kwa kupanda miti rafiki katika jiji la Dar es Salaam alipokuwa eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kusifia muitikio mkubwa wa wakaazi wa jiji hilo kubwa kiasi kuwa moja ya majiji safi Afrika na mlipuko wa gonjwa la kipindupindu umepita mbali na jiji la Dar es Salaam.
Source : Dar es Salaam RS Digital

Mtoto wa mjini papaa Amos Makalla
 
28 January 2023

Mgeni toka nchi jirani apigwa butwaa na usafi katika jiji la Dar es Salaam

Ajiuliza usafi huu unaonekana ni tabia ya wakaazi wake kwani ni ngumu kuona karatasi barabarani wakati alipokuwa akikatiza katika mitaa tajwa kadhaa inayokatiza viunga vya jiji letu la Dar es Salaam.
 
Kwa wale ambao hawajafika katika jiji letu wanaweza kujione kwa kuangalia

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 in 4K 60FPS ULTRA HD Video by Drone

Source : Exploropia
 
Back
Top Bottom