RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

Hasa Muhimbili hospitali hali ni mbaya sana.Tujenge mazingira bora ya hospitali ya Taifa.Inatia aibu hii hali kimataifa.
 
Hiyo amri ingekuja na huku mikoani kuna baadhi wako barabarani wameipunguza barabara kupaki hamna shida tupu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo , ambazo zimejaa wamachinga , mama lishe , wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi

Bali haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa .
Kwani walitoka wapi? Watarudishwa walikotoka
 
Niombe chama tawala kwa dharura waingilie kati swala la hawa wamachinga wanaopambani haki zao wakiwa uchi hapo Kariakoo.

Nadhani RC Makalla hajaeleweka vizuri hivyo chama kiingilie kati kuokoa jahazi.

cc: Mzee Mgaya
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo , ambazo zimejaa wamachinga , mama lishe , wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi

Bali haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa .

Hapa ndio watendaji wa serikali watapimwa kwa kushundwa au kufanikiwa kuwawezesha wamachunga kufanya biashara kwa kufuata taratibu

Maelekezo yalishatolewaga siku nyingi sana

Hoja inamashiko, Ila uongozi wetu hua unafeli mbinu/njia wanazotumia sio rafiki kabisaa
safi sana.
kimsingi Karia koo kwa sasa inapaswa ihamie Maeneo ya MBEZI MWISHO, STENDI YA MAGUFULI.
JIJI la DSR ljnapaswa lipanuke.
tubadilike, wataalamu wa mipango miji wapo lkn hawataki kutumia taaluma zao vyema.
we
 
Back
Top Bottom