RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

kumbe mambi yalikuwa sawa tu, sasa kwa nini jamaa analalamika sana
Wenye akili ndogo wa ainanyako hakika hawawezi kuona shida ilipo npmaana sifa kuu kwa mujibu wa waziri ni KK na ninadhan ndio sera chama ,sasa kwa uelewa huo si rahisi kujua kuwa protocols zilikiukwa kwa makusudi , lema ni mbunge wajimbo na nafasi yake haiwezi kuzibwa au kuwa na niaba yake isipo iuwa kwa udhuru maalum, maana yeye ananafasi yake kama mbunge wa jimbo husika na kwa hali hiyo hata mbowe nna kinana kiprotocol hawakuwa na nafasi kubwa zaidnya lema ni basi tu KK ndio tatizo, hii KK hiii itaonheza chuki tanzania
 
Mnagombea mic looooo!!!!!
Wenye akili ndogo wa ainanyako hakika hawawezi kuona shida ilipo npmaana sifa kuu kwa mujibu wa waziri ni KK na ninadhan ndio sera chama ,sasa kwa uelewa huo si rahisi kujua kuwa protocols zilikiukwa kwa makusudi , lema ni mbunge wajimbo na nafasi yake haiwezi kuzibwa au kuwa na niaba yake isipo iuwa kwa udhuru maalum, maana yeye ananafasi yake kama mbunge wa jimbo husika na kwa hali hiyo hata mbowe nna kinana kiprotocol hawakuwa na nafasi kubwa zaid ya lema ni basi tu KK ndio tatizo, hii KK hiii itaongeza chuki tanzania
 
Mnagombea mic looooo!!!!!
Ukiwa na akili ndogo zilizo tawaliwa na siasa za kishamba na maji taka ni lazima useme hivyo ioa wenyw akili timamu na wao jua kuzitumia vyema wanajua tatizo lilipo ,sasa wajinga wengi wa aina yako dah!! Hii KK hii inaua taifa maana vilazwa ni wengi kuliko wenye akili timamu
 
Wenye akili ndogo wa ainanyako hakika hawawezi kuona shida ilipo npmaana sifa kuu kwa mujibu wa waziri ni KK na ninadhan ndio sera chama ,sasa kwa uelewa huo si rahisi kujua kuwa protocols zilikiukwa kwa makusudi , lema ni mbunge wajimbo na nafasi yake haiwezi kuzibwa au kuwa na niaba yake isipo iuwa kwa udhuru maalum, maana yeye ananafasi yake kama mbunge wa jimbo husika na kwa hali hiyo hata mbowe nna kinana kiprotocol hawakuwa na nafasi kubwa zaidnya lema ni basi tu KK ndio tatizo, hii KK hiii itaonheza chuki tanzania
KAma akili nyingi z degree ni kuongea misibani aende watoto wanakopelekwa kuzikwa.
Tuache mambo mepesi mepesi, mwanzoni nilidhani hakuna hata chadema au muwakilishi aliyeongea.
 
huyo mbunge ni form two tena alikimbia shule...sasa yeye kila kitu siasa ndio mana kiki zake maandamano na jela... he has very very little thinking capacity kama bashite flani hivi sema yeye ni ufipa..
Mfano msiba umetokea kwenu baba yako hapewi nafasi ya kutoa shukrani, nafasi anapewa hawara wa mama yako anayetoka sehemu tofauti na kwenu. Ungefurahi hata kama ni msibani, siyo?

Kama siyo siasa, bendera za nini na mashati yenu ya kijani pale jukwaa kuu uwanjani? Kenge kweli kweli.
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu
Good mkuuuu!yako sayar nyeus!
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.
Sawa.
Inaelekea Lema kaguswa sana na huu msiba, ila kaguswa na kunyimwa mic kuliko msiba wenyewe.
Alienda Karatu?
Alienda Shuleni?
Alienda Mt. Meru?
Alishiriki katika kamati ya maandalizi ya shughuli za msiba?
Labda kuna kitu kimeniruka mahali lakini nimemuona kaibukia Sheikh Amri Abedi.
Na kilio chake cha kwanza kikubwa nimekisikia kwenye kunyimwa mic.
 
Lema hakutakiwa kuwakilishwa na mbowe, labda angesema nilimpa lema nafasi kuwakilisha upinzani. Yaani umefiwa kwenye jimbo lako halafu usipate nafasi ya kusalimia uwakilishwe na mtu. Huyu jamaa ni zero brain
 
Siasa Chafu... Sisi sote ni ndugu, Vip kama Mbowe alichukuwa nafasi ya wabunge wote na kwa niaba ya upinzani, vipi Meya?
Jamani mimi nimemuelewa Gambo kwa kweli alichokisema naona
Siasa Chafu... Sisi sote ni ndugu, Vip kama Mbowe alichukuwa nafasi ya wabunge wote na kwa niaba ya upinzani, vipi Meya?
Nataka kumuelewa Gambo, ila labda kama wale mawaziri waliopata muda wa kutoa salaam tutawachukulia kama wabunge. Hata hivyo kwangu mimi la muhimu ni Kwamba Lema Mbunge wa jimbo la Arusha ameshiriki msiba na wapiga kura wake wamemuona ameshiriki nao.
 
Tuachanane na maswal ya siasa ilikuwa inatakiwa na lema kupewa nafasi ya kutoa salamu zake n kuwashukur wagen waliofika
 
Sawa mkubwa ila jua kwamba Lema nae kakosea sana kuja kulalamika mitandaoni ina maana alitegemea kupata kiki msibani. Angemzuia boss wake kwenda hapo msibani ili apate nafasi.
Kwani bosi wake ndio Mbunge wa Arusha? Mbona mgumu kuelewa?
 
Vipi na yale Magari yao yalio ondolewa Uwanjani? Ambulesi yenye jina la Nasari na Lema
 
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg
Acheni usenge waziri wa fedha anahusika vipi na Arusha,na pia jimbo la Arusha mjini nani mwenyeji halali kati yake na Mayor aache ujinga huyu Dogo MTU mwenyewe tunamjua toka tabora ni bashite pia
 
Back
Top Bottom