Tuanze hapa kwanza Mbunge wa eneo lililokea ajari ni nani ?[/QUOTE
Wee sura fenesi
Daudi Mchambuzi, usipende kukurupuka kama kuku kashtushwa, comment hii
juu ndo msingi wa mimi kubishana na huyu jamaa, ilipotokea ajali!
Alafu sijui ndani ya kichwa umejaza funza?? Unakubali kuwa watoto wanayoka pande tofauti za nchi ila haukubali mwakilishi wa wabunge wote wa upinzani nchini kutoa salamu na pia kumwakilisha lema, wewe ulitaka umuone tu jamaa yako kashika maiki akiongea pumba zake!
Kwa hiyo hao watu 35 waliokufa ni wakazi wa karatu???
Nimeshasema nyie uvccm tutawarudisha jando tukawafunde Protocol kwa viboko vya mgongo na upupu.