RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg
Lema ni sawa na debe tupu, hata upepo ukipiga linatoa sauti. Sasa kama mbowe aliwakilisha opp shida ikowapi. Yaan ukiwa kiongozi ukavuta bange ndo shida
 
Achunguzwe vyeti, inawezekana ni bashite mwingine
 
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg

Naona ameona aibu hana cha kuzungumza zaidi ya upumbavu,Catherine ni Kiongozi wa serikali department gani??

Anyway meseji imemfikia mlengwa.
 
Kwahiyo Leo walikuwa wanaaga miili ya marehemu karatu??? Sheikh AMry Abeid IPO karatu siku hizi??

Hivi wewe MKE WA lemutuz una matatizo Gani?? Limbulula super gademu halikupigi miti VIzuri eeeee???
Jilete kimbelembele tu nitakulamba kiboga sasa hivi ohooooooo!
Vijana mnakurupuka kweli kucomment, hii comment nilikuwa nabishana na mtu aliyesema eneo LILILOTOKEA ajali, ambapo ni karatu, je karatu ipo jimbo la lema? Ndo tumebishana mpaka tumefika hapa sasa wewe unadandia tu bila kusoma comments za awali!
Kiboga kampasue aliyekuzaa.
 
Lema ni sawa na debe tupu, hata upepo ukipiga linatoa sauti. Sasa kama mbowe aliwakilisha opp shida ikowapi. Yaan ukiwa kiongozi ukavuta bange ndo shida

Pole sana,hata Kagera wabunge wote wakipewa nafasi ya kutoa pole kwa wahanga.

Lema amewanyofoa vichwa.Kiboko ya CCM ni Lema.
 
Vijana mnakurupuka kweli kucomment, hii comment nilikuwa nabishana na mtu aliyesema eneo LILILOTOKEA ajali, ambapo ni karatu, je karatu ipo jimbo la lema? Ndo tumebishana mpaka tumefika hapa sasa wewe unadandia tu bila kusoma comments za awali!

Eneo ni Karatu wanafunzi ni wa Arusha, ndiyo sababu Lema ndiye aliyefikwa na Msiba.

Jiulize huyo Mbunge wa Matatu aliitwa kutoa pole?Mayor wa Arusha aliitwa kutoa pole.Ubaguzi utawatafuna.
 
huyo mbunge ni form two tena alikimbia shule...sasa yeye kila kitu siasa ndio mana kiki zake maandamano na jela... he has very very little thinking capacity kama bashite flani hivi sema yeye ni ufipa..
Udhuri wa lema kwenye kusema ukweli hapepesi macho
 
NI AKILI NDOGO PEKEE NDIYO INAYOWEZA KUKUBALIANA NA UTETEZI WA MKUU WA MKOA WA ARUSHA..

Kuleta siasa kila sehemu ni jambo hatari sana...
kum-treat Mbunge wa Arusha kama mpinzani katika janga ambalo limetokea jimboni mwake SI SAWA HATA KIDOGO.

inahitaji hekima ndogo sana (0.01% ya Mfalme Sulemani)kuweza kujua kuwa Mbunge wa Arusha mjini alitakiwa kuzungumza unless uwe umeagizwa kuliamini hilo.
Its very obvious...

Wewe unayeona Mkuu wa mkoa wa Arusha alichokifanya jana ni sawa jichunguze akili.
 
Gambo unajulikana Kwa sifa uligombania mradi wa Hospital, Ulimchongea MKUU wa mkoa ndio ukapewa were kumbuka Malipo ni hapa hapa duniani
 
Pole sana,hata Kagera wabunge wote wakipewa nafasi ya kutoa pole kwa wahanga.

Lema amewanyofoa vichwa.Kiboko ya CCM ni Lema.
Kanyofoa vichwa kivipi wakati mwenye shughuli ambaye ni Gambo kamweka benchi lema?
Ratiba inapangwa na mwenye shughuli, kagera ilipangwa na wa kagera, sio suala la kufuata katiba! Ni mwenye shughuli anaamua nani aongee na nani akae kimya!
 
NI AKILI NDOGO PEKEE NDIYO INAYOWEZA KUKUBALIANA NA UTETEZI WA MKUU WA MKOA WA ARUSHA..

Kuleta siasa kila sehemu ni jambo hatari sana...
kum-treat Mbunge wa Arusha kama mpinzani katika janga ambalo limetokea jimboni mwake SI SAWA HATA KIDOGO.

inahitaji hekima ndogo sana (0.01% ya Mfalme Sulemani)kuweza kujua kuwa Mbunge wa Arusha mjini alitakiwa kuzungumza unless uwe umeagizwa kuliamini hilo.
Its very obvious...

Wewe unayeona Mkuu wa mkoa wa Arusha alichokifanya jana ni sawa jichunguze akili.

CCM wamejazwa chuki na visasi na Mwenyekiti wao.Anachofanya Baba mtoto ndicho afanyacho.

JKN alisema Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu maana mlaji haachi kula,atakula hata watoto wake.

Ubaguzi ni dhambi na mwisho wa siku wanaoendekeza Ubaguzi watakuja kujikuta wanabaguana wenyewe kwa wenyewe.

CCM haina tena uoga,wanafanya Ubaguzi kwa uwazi kabisa.
 
NI AKILI NDOGO PEKEE NDIYO INAYOWEZA KUKUBALIANA NA UTETEZI WA MKUU WA MKOA WA ARUSHA..

Kuleta siasa kila sehemu ni jambo hatari sana...
kum-treat Mbunge wa Arusha kama mpinzani katika janga ambalo limetokea jimboni mwake SI SAWA HATA KIDOGO.

inahitaji hekima ndogo sana (0.01% ya Mfalme Sulemani)kuweza kujua kuwa Mbunge wa Arusha mjini alitakiwa kuzungumza unless uwe umeagizwa kuliamini hilo.
Its very obvious...

Wewe unayeona Mkuu wa mkoa wa Arusha alichokifanya jana ni sawa jichunguze akili.
Hata mwalimu mkuu wa shule iliyopoteza wanafunzi na staff hakupewa nafasi, lema yeye ni nani apewe kama mbowe alishaongea?
Sema lema kila tukio anataka liwe la kisiasa siasa tu!
 
Kanyofoa vichwa kivipi wakati mwenye shughuli ambaye ni Gambo kamweka benchi lema?
Ratiba inapangwa na mwenye shughuli, kagera ilipangwa na wa kagera, sio suala la kufuata katiba! Ni mwenye shughuli anaamua nani aongee na nani akae kimya!

Mwenye shughuli IPI??Ya kujipachika kutafuta kiki??Mfiwa ni Mbunge hapo maana wapiga kura wake ndiyo w amefariki,siyo huyo kichwa Maji wenu.
 
Hata mwalimu mkuu wa shule iliyopoteza wanafunzi na staff hakupewa nafasi, lema yeye ni nani apewe kama mbowe alishaongea?
Sema lema kila tukio anataka liwe la kisiasa siasa tu!

Ndiyo sababu mnaendesha msiba kama mkutano wa hadhara. Waliofika pale hawakumfuata Gambo,Makamu wa Rais wala Jeshi,wakienda kuungana na Shule, wazazi na Mbunge wao kuomboleza na kuaga wanafunzi.

Potezea tu maana akili zenu zimeshikwa na chuki,visasi na Ubaguzi.

Rungu la Lema limewafikia kati kati ya kichwa.
 
unawezaje kufananisha uwepo wa mwenyeji na mgeni katika msiba wa mwenyeji?muda mwingine tuwe tunakubari kwamba tumekosea kwa maana hakuna faida yeyote atayoipata kwa kubagua watu
 
Eneo ni Karatu wanafunzi ni wa Arusha, ndiyo sababu Lema ndiye aliyefikwa na Msiba.

Jiulize huyo Mbunge wa Matatu aliitwa kutoa pole?Mayor wa Arusha aliitwa kutoa pole.Ubaguzi utawatafuna.
Anza kusoma uzi huu toka mwanzo na comment zake ndo utanielewa, usidandie treni kwa mbele!
 
Kama Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Lema alitakiwa kupewa nafasi ya kuwaaga wapendwa wetu na si vinginevyo.
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.
Basi mbunge wa karatu naye angepewa.tumechoka siasa misibani.
 
Back
Top Bottom