RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

Lema mbunge wa Arusha.

Mbowe mbunge wa?

Kinana mbunge wa?

Kwa jibu alilotoa huyu jamaa anaonesha kua kwake kila kitu ni siasa, kinana na mbowe siyo wawakilishi wa wananchi wa pale unawapa muda wa kuzungumza ukiwa umelenga eti kwa niaba ya upinzani na ccm.

Siasa kila mahali hii ni aibu, mpaka kwenye misiba watu wanatumia kama ni jukwaa la kujitangaza kisiasa.

Ujinga na unafiki unaangamiza taifa.
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.
Unamshambulia hata kamanda Kilewella?
 
huyo mbunge ni form two tena alikimbia shule...sasa yeye kila kitu siasa ndio mana kiki zake maandamano na jela... he has very very little thinking capacity kama bashite flani hivi sema yeye ni ufipa..
 
Safi sana inaonekana meseji imefika!!
Povu la nini?? Huo utaratibu wa lema kuongea ni utaratibu wa mmeo na wewe chumbani kwenu, kwa ishu ya leo dj kaongea kwa niaba ya lema, hutaki acha!
Safi sana hilo lilionekana na wengine tulielewa, wengi hata mawazo yetu hayakuwa yanafikiria nani ataongea bali kusikiliza ujumbe waliotoa.
Lema ni Mr misifa
Na hayo majibu kama kweli yeye ndiye aliye yatoa basi kayatoa ili kufurahisha wajinga kama nyie ili muendelee kushangili na kufurahi lakin kwa wenye akili wanajua umuhimu wa mbunge katika jimbo lake na uzito wake pale miongoni mwa mwananchi wake wanapo pata shida.
 
Ili kuondoa utata mbowe asingeenda,hapo lema angekua na point kubwa zaidi maana kama wangemnyima nafasi mbowe wakampa lema ingekua tatizo pia.(maana binadamu hatuishiwi visingizio)

NB ajali imetokea eneo la karatu mbona mbunge wa karatu hamumtaji sana kama wa arusha ina maana kuna kaubaguzi kwenye ukubwa wa jina la mbunge?
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu
 
Tuanze hapa kwanza Mbunge wa eneo lililokea ajari ni nani ?
Lema ni Mbunge shughuli ilipofanyikia!! Halafu Gambo anakosea, kama Mbowe aliongea kwa niaba ya wabunge wa Upinzani, kwa nini Lowassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA asingepewa nafasi aongee kwa niaba ya CHADEMA kama Kinana Katibu Mkuu wa CCM alivyoongea kwa niaba ya CCM?
 
Back
Top Bottom