Kuna dalili kuwa tutaanza kudai hata karo iliyokuwa imelipwa na wazazi kwa niaba ya wazazi!!
Mungu atusamehe kwa kweli! Yaani tunaanza marumbano kwenye msiba tena unaoumiza kiasi hiki??? Jamani jamani wa Tz tuangalie tunakoelekea!! [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pumzikeni kwa amani wanangu
Nimeanza kutumia mitandao kabla hujazaliwa na sidhan kama hata wazazi wako walikuwa wameoana mkuu hivyo sidhan kama hiyo hoja yako ya ulimbuken ina mashiko kwangu. Naenda na mtu vile anavyo taka yeye ukinijia kichwa kichwa tutamalizana hivyo hivyo ukija na mambo ya msingi nitaenda nawe vivyo hivyo ,ukishatukana maisha yako yanakuwa yamebadilika kwa kiasi gani?😀😀😀😀 Punguza ulimbukeni wa mitandao
Is It a written law, regulation, traditional value or mbona mmekomalia sana Lema kuzungumza? sio kila kitu lazima kitafsriwe kisisa. Maelezo ya Mh Gambo ni toshelevu.Ni upuuzi na ujinga tu, local reps huwezi kuwaruka hata siku moja maana wao na huyo kiongozi wa upinzani wana role tofauti sana !!
Uonezi ulioufanya kwake awali lazima mliogopa aka guilty consciousness na hiyo itawatafuna milele !!
Kuwa timu moja si lazima mfanane. Mshangiliaji wa timu na Mchezaji wapi na wapi, au majukumu ya Kocha na mfua jezi yanafananaje!!Sio ndio mwezako huyo! Mpo timu moja! Ndio unajiangalia kwenye kioo hapo!
mjinga mama yakoMajinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu
Safi sana inaonekana meseji imefika!!
kwa hiyo unajua nimezaliwa lini? akili ndogo at workNimeanza kutumia mitandao kabla hujazaliwa na sidhan kama hata wazazi wako walikuwa wameoana mkuu hivyo sidhan kama hiyo hoja yako ya ulimbuken ina mashiko kwangu. Naenda na mtu vile anavyo taka yeye ukinijia kichwa kichwa tutamalizana hivyo hivyo ukija na mambo ya msingi nitaenda nawe vivyo hivyo ,
Ni kweli kabisa mkuu kila kitu ni siasa hadi ubinadamu unasahaulikaKuna dalili kuwa tutaanza kudai hata karo iliyokuwa imelipwa na wazazi kwa niaba ya wazazi!!
Mungu atusamehe kwa kweli! Yaani tunaanza marumbano kwenye msiba tena unaoumiza kiasi hiki??? Jamani jamani wa Tz tuangalie tunakoelekea!! [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pumzikeni kwa amani wanangu