Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,930
- 1,252,069
Sawa mkubwa ila jua kwamba Lema nae kakosea sana kuja kulalamika mitandaoni ina maana alitegemea kupata kiki msibani. Angemzuia boss wake kwenda hapo msibani ili apate nafasi.
Eitha we we ni mtoto au kuna shida katika uelewa. "Msiba wake" ni kumaanisha uko "nyumbani" kwake yaani Arusha. OK, tuyaache hayo ila tabia za Jana zimeidhalilisha serikali ya ccm mbele ya jamii