RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Kama ni ukweli, Mkuu wa mkoa aombe radhi...kiroho safi tu yaishe
 
Kufanya ubaguzi kwa misingi ya vyama vya siasa sio kufanya siasa?
 
Kufanya ubaguzi kwa misingi ya vyama vya siasa sio kufanya siasa?

Hujajibu swali langu unauliza lako juu?

Wengine wanaweza kukuambia kuwa huyo Makamu wa Rais tu kuwa hapo ni kufanya siasa msibani.

Msiba ukishaanza kuwa na viongozi wa siasa kama wasemaji, hauwezi kuepuka siasa.

Watataka wamuone mwanasiasa, badalaya kumsikiliza mfiwa, watataka wamsikilize mwanasiasa.

Mwanasiasa anaondoa focus kwa waliofiwa.
 
Alijiona yuko juu ya makamu wa raisi sasa tunasubiri kuona kitakachofuata.Waache kumdhalilisha huyu mama ni kichwa kuliko wao.

Hawezi kuguswa huyo ndiyo kati ya wale vichwa vya Mkuu wa Kata.Ukitaka kujua tabia ya mtu angalia rafiki zake.Tukitaka kujua tabia ya Mkullu tuna angalia wateule wake.
 
Mambo ya kiungwana yapi?

Kufanya siasa kwenye misiba?
Una maana gani kufanya siasa kwenye msiba? Wewe unachoona siasa ni kwa upande mmoja tu? Kuna wabunge wala siyo wa Jimbo lile inasemekana wametajwa,hilo wewe unaita ni mambo ya msiba? Uvyama huu hadi mtu anajitoa ufahamu. Hii nchi ni ya Watanzania ambao wengi wala hivyo vyama vyenu haviwahusu. Kwanza vyama mara nyingi ndivyo vimechangia kutudumaza,bado tunaenda mbele tunarudi palepale! Miaka nenda rudi tunapiga marktime!
 
Hujajibu swali langu unauliza lako juu?

Wengine wanaweza kukuambia kuwa huyo Makamu wa Rais tu kuwa hapo ni kufanya siasa msibani.

Msiba ukishaanza kuwa na viongozi wa siasa kama wasemaji, hauwezi kuepuka siasa.

Watataka wamuone mwanasiasa, badalaya kumsikiliza mfiwa, watataka wamsikilize mwanasiasa.

Mwanasiasa anaondoa focus kwa waliofiwa.

Kwa hiyo Kinana ni Kiongozi wa kiserikali?Catherine Maige naye ni Waziri wa wizara gani??

Tanzania bila Ubaguzi Inawezekana play your part
 
Gambo anapewa kiburi na Rais,ndio maana kapata nguvu ya kumdharau Makamu wa Rais.
Na wewe umeiamini kauli ya mtoa mada!!
Ama kweli watz wengi hatutumii akili zetu kufikilia.
Ujumbe ukatoka kwa Mbowe, mtoa mada akausoma kisha akasoma na majibu ya makamu wa Raisi kwanda kwa RC!!!
 
Lema na mayor ni wafiwa, wameondokewa na wananchi kwenye himaya yao ya uchaguzi. Wanatakiwa wafarijiwe,wabembelezwe,wapepewe. Inashangaza mfiwa anang'ang'ania mic aanze kumwaga sera kwenye msiba wake.

Kama amefiwa ndiye anayetakiwa kutoa shukurani ya kufarijiwa na siyo Kinana.
 
Una maana gani kufanya siasa kwenye msiba? Wewe unachoona siasa ni kwa upande mmoja tu? Kuna wabunge wala siyo wa Jimbo lile inasemekana wametajwa,hilo wewe unaita ni mambo ya msiba? Uvyama huu hadi mtu anajitoa ufahamu. Hii nchi ni ya Watanzania ambao wengi wala hivyo vyama vyenu haviwahusu. Kwanza vyama mara nyingi ndivyo vimechangia kutudumaza,bado tunaenda mbele tunarudi palepale! Miaka nenda rudi tunapiga marktime!
Msibani wanaotakiwa kupewa attention ni wafiwa tu.

Hao wanasiasa wote kama wamekuja kutoa pole ilitakiwa watoe pole wajikate, sio kutafuta umaarufu msibani.

Kwa hiyo habari nzimaya kuita na kuwapa mic wanasiasa msibani, awe rais, awe makamu awe mbunge, awe chama tawala au upinzani, ni ujinga.

Kwa sababu ukimpa mic mwanasiasa ataongea mambo kisiasa na msiba utakwenda kisiasa.

Hilo litakuwa tusi kwa waliofariki na wafiwa.
 
Mkuu wa Mkoa anakataa kumtii Makamu wa rais alafu hadharani hizi ni tabia za uke wenza kabisa sio za kuvumiliwa.

Kuna siku Bashite naye aliwawahi kumuagiza huyu mama jukwaani.

CCM inalea vimamba ikidhani ni mijusi soon watamezana hawa.
 
Kwa hiyo Kinana ni Kiongozi wa kiserikali?Catherine Maige naye ni Waziri wa wizara gani??

Tanzania bila Ubaguzi Inawezekana play your part
Wapi nimewataja hao? Kwa nini unanitajia majina yao?
 
Mkuu wa Mkoa anakataa kumtii Makamu wa rais alafu hadharani hizi ni tabia za uke wenza kabisa sio za kuvumiliwa.

Kuna siku Bashite naye aliwawahi kumuagiza huyu mama jukwaani.

CCM inalea vimamba ikidhani ni mijusi soon watamezana hawa.

Kama Baba anamdharau Mama usitegemee watoto wakamuheshimu Mama.

JPM anamdharau huyu Mama usitegemee vipenzi vyake vikamuheshimu.

Kama Makonda anajiona ndiyo Makamu wa Rais kwa sasa.
 
Back
Top Bottom