RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
kula likes mia mkuu
 
Namuunga mkono Gambo....mama Samia ametumika na kina Mbowe tu....halafu huyu Lema kama anataka kuongea na wananchi wake si aite mkutano wake wa hadhara
 
.Kiki hadi misibani
Mtu mwenye huzuni halilii kuongea msibani kamwe
hawa tunako elekea watakuja kuombea misiba mikubwa itokee kwao
wapate kiki

Kama navyofanya nyie??UVCCM bwana akili zenu zinajaa kwenye kisoda tu,hivi Kinana ni Mbunge wa Jimbo gani vile hapo Arusha!,au huu msiba ulikuwa wa UVCCM??

Akili zenu na Mwenyekiti wa Chama chenu Cha Mauaji ziko sawa sawa Chuki na visasi ndicho mnachojua.

Msiba uke ni wa Kitaifa,Lema ni Mbunge wa Arusha,na ndiye mfiwa kwenye msiba huu wapiga kura wake wamepotea halafu mnakuja na Upumbavu wa Lumumba.

Kwendeni zenu hamna hata aibu.
 
Ha ha ha haaaaaa

Embu weka picha tukutafute wewe ni yupi, tukusome ulikuwaje alipoitwa tukutambue kwa sekunde. Ngoja nije nipate muda tukuone mleta mada.

Je unatamani ungekuwa ndio RC au, maana siku hizi unaisoma namba hadi unaandikaga ya ajabu ajabu kwa kujificha.

Ila nafikiri unaongeza chumvi lazima ulikuwa mbali sana, umeona au umeambiwa ndio unakuja na maneno hayo.
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.

Mkuu nafasi ya kuanzisha uzi wako na kuzungumzia mada yoyote uitakayo , ipo wazi ,tafadhali itumie.
 
Namuunga mkono Gambo....mama Samia ametumika na kina Mbowe tu....halafu huyu Lema kama anataka kuongea na wananchi wake si aite mkutano wake wa hadhara

Kwani.ule ilikuwa Mkutano wa Siasa?Mbona unajidhalilisha dogo.!Iteni basi tuone kama utapata hata 1/100 ya Watu waliokusanyika Leo.

Acheni Upumbavu Tanzania yetu sote msiba ule ni wa kitaifa.Mfiwa pale ni Mbunge na siyo hiyo Mpuuzi wa CCM Sijui Gambo.Upuuzi mtupu upelekeni Lumumba Mang'ombe nyie
 
Yule jamaa mambo anayoubiri na anayofanya tofauti sana anasema maendeleo ayana vyama lakini moyoni amejaa ubaguzi wa kila aina
 
Mama Samia baada ya kukataliwa angejiongeza kwa kumpa Lema nafasi kabla ya kuzungumza

au aliogopa kutumbuliwa na kipenzi cha gambo na madereva.
 
Mkuu nafasi ya kuanzisha uzi wako na kuzungumzia mada yoyote uitakayo , ipo wazi ,tafadhali itumie.
Kwanini unaona ipo haja ya kuanzisha uzi mwingine wakati uzi huu tayari unazungumzia jambo hili?
 
Yule jamaa mambo anayoubiri na anayofanya tofauti sana anasema maendeleo ayana vyama lakini moyoni amejaa ubaguzi wa kila aina
 
Lema na mayor ni wafiwa, wameondokewa na wananchi kwenye himaya yao ya uchaguzi. Wanatakiwa wafarijiwe,wabembelezwe,wapepewe. Inashangaza mfiwa anang'ang'ania mic aanze kumwaga sera kwenye msiba wake.
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Mkuu hili ni Taifa,kuna mambo yetu ya kiungwana tuliyazoea. Kama tuanza kwenda nje ya mambo yetu lazima tukumbushane ili kuondoa dosari. Ingawa sikubahatika kuangalia tukio la kuaga vijana wetu kwa kuwa nilikua nje kabisa ya mji.Kama ni kweli siyo vema,japo haina maana sana,kwa kuwa mtu haongezewi wala kupungukiwa na chochote.
 
045d6c3582377b39d3f83237b9d12c45.jpg
 
Mkuu hili ni Taifa,kuna mambo yetu ya kiungwana tuliyazoea. Kama tuanza kwenda nje ya mambo yetu lazima tukumbushane ili kuondoa dosari. Jambo hilo liko clear kabisa
Mambo ya kiungwana yapi?

Kufanya siasa kwenye misiba?
 
Mamlaka yote katika nchi yanatoka kwa mwananchi.

Ndiyo maana hao viongozi wanahitaji kupata kura za wananchi.

Hao wabunge wanaotunga sheria wanachaguliwa na wananchi na wanawakilisha wananchi.

Kama viongozi hawafanyi wanachotakiwa, wananchi wamewadekeza.
Katiba ya nchi inampa mwananchi mamlaka lakini uelewe kwa sasa ni kinyume chake mwenye mamlaka ni kiongozi kazi ya mwanchi huisha baada ya kupiga kura.Kiongozi ndiye top,wengine ni bilabila.
 
Watu kutojiuliza haya maswali, imenifanya nianze kuogopa sana kama taifa tunaelekea wapi au labda tumefika wapi. Kutwa mijadala yetu ni mambo ya kitoto tu.

Mnangoja muandikiwe mbishe. Hamjui kuandika?
 
Katiba ya nchi inampa mwananchi mamlaka lakini uelewe kwa sasa ni kinyume chake mwenye mamlaka ni kiongozi kazi ya mwanchi huisha baada ya kupiga kura.Kiongozi ndiye top,wengine ni bilabila.
Kosa la nani?

Nani kakwambia kazi ya mwananchi inaisha baada ya kupiga kura?
 
Back
Top Bottom