RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Constipation
 
Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Utakuwa ni mmoja wa wale waliovurugwa, na waliokuvuruga walishatangulia mbele ya uovu!!!
 
Hawa watu ni wabaya sana katika kutafuta kiki kwa misiba.
Waliwahi kuuburuza mwili wa Mawazo toka katoro mpaka Mwanza,eti kuuaga,walipoambiwa huyo kwao ni Geita, rudini Geita wakaisusa maiti kwanza kama wiki hivi halafu wakaiburuta tena hadi geita yote hii wapate kiki

Hebu jiheshimu Mkuu, acha mambo ya kijinga ..
 
Unajuaje kama hao walioachwa walikua na maoni ya namna ya kudhibiti ajali!? Sio kila mtu anafanya siasa kama CCM walivyo! Fikiria mbali kidogo mkuu
Naongelea tunaojadili hapa.

Hata hao walioachwa sijawasikia popote wakiongelea jinsi ya kudhibiti ajali.

Naona Lema analalamikahajapewa nafasi kuhutubia.
 
Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
CCM wanajitahidi sana kupata kiki chuga lakini haisaidii na haitasaidia!
 
huyu dogo anakumbuka kupandisha bendera ya CCM isiyokuwa na tija anasahau mtu aliepigiwa kura na wananchi!!!
hapa hata wakitumia nguvu za kuzimu kumtoa lema kwenye hilo jimbo ni ndoto maana upuuzi wanaudhihirisha wenyewe bayana.
 
Lakini tu hata lema ajifunze kitu kimoja huna haja ya kujipendekeza kwa adui yake inajulikana wazi mrisho gambo c mtu mzuri kwa lema lkn pia ni msaada mkubwa kwa upinzani wajipange kwani kwa tabia ya huyu mtu ni bora kupambana nae bila kucheka vingingivyo wapinzani watavuna mabua ktk uchaguzi
 
Hao hawamdharau Makamu (Samia) pekeyake bali viongozi wote waliochini ya Raisi (Mawaziri wote, Wakurugenzi nk) baada ya raisi ni wao
Shauri zao,huyo mama ndie rais ajae.
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Kudhibiti kunategemeana na CHANZO CHA AJALI.

Najua wengi watasema chanzo ni MWENDO KASI au UZEMBE WA DEREVA.

Wengi husahahu kwamba GARI LENYEWE na hata BARABARA pia ni vyanzo vya ajali.

Tuboreshe barabara kama tunahitaji kusafiri salama kwa magari. Lazima tuwekeze kwenye barabara za lami ZENYE VIWANGO.
 
Kwel siasa nikitu kibaya sana watu tukae tutafakar.hivi inaingiaje akilin watu kugombania mait zilizo kufa?kwani huyo makam warais alivokuja kuwaaga amewafufua?nahata hao wengine waserikal walioongea kip hasa walichokiongeza kwahao mait?wanasiasa tafuten muda wenu muwatafute wananchi kwenye mikutano yenu muongee nao kuhusu maendeleo yao nasio kugombania mait eti nani aongee nanan asiongee huu niujinga usio naakili kabisa
 
Usimdharau makamu wako wa rais,Future is mystery,unamdharau leo kesho anakua rais wako,cjui utaificha wapi sura yakp
Uko sahihi kabisa mkuu...inatokea leo kwetu tunapiga tanga kama la Zambia na Malawi...fasta kwa mujibu wa katiba ...mama samia analivusha GOMA mpaka uchaguzi ujao 2020....shughuli inawarudia wale woote waliokuwa wakimletea dharau....NYUMAAA GEUKA...WAKWANZA ANAKUWA WA MWISHO.. ..
 
Gambo anaaminishwa vibaya sana ila bado kwenye siasa hana lolote ni mtupu..wengine hawana nyota ila wanalazimisha
 
Hahahaha.... Saikolojia za wanachadema kwa sasa zinasumbuliwa balaa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hivi Simbachamwene yeye aliongea kama nani iwapo Mayor au Mbunge hawakuruhusiwa!?

Na kama ni kweli Makamu wa Rais katiliwa ngumu na Mkuu wa Mkoa basi hiyo ni kosa tosha la kumtimua. Inawezekana kinachosemwa siyo kweli lakini in whatever cause protocol zimekosewa na ni maksudi kabisa. Hivi kama kweli Yale maneno ya "mimi Tanzania ni nayoitaka haijali vyama na Maendeleo hayana chama" siyaamini tena!!
 
Hii maada imeendelea sana humu jukwaani na kwenye whats app. Ukikurupuka bila kutumia akili utaingia mkenge.

1. Aliyeanza kusambaza huu uzi ni Lema mwenyewe kuwa kanyimwa kusalimia wanajimbo wenzake. Swali : Mbowe hajamuwakilisha?

2.Mleta uzi kama siyo mnafiki basi wewe ni huna akili hata kidogo. Dealing : hivi kutikisa kichwa ni kuwa amekatalia kile unachotuaminisha wewe? Kama aliulizwa kuwa wabunge wote WA Arusha wataongea akatikisa kichwa kuwa hawataongea ? Ama pengine aliuliza jambo jingine tofauti na unalotuaminisha? Sitokaa kuamini huu ujinga eti mkuu wa mkoa amkatalie makamu wa rais ni uongo. Tumieni akili kupembua mambo
 
Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Na kweli samia ni kibendera???
 
Uko sahihi kabisa mkuu...inatokea leo kwetu tunapiga tanga kama la Zambia na Malawi...fasta kwa mujibu wa katiba ...mama samia analivusha GOMA mpaka uchaguzi ujao 2020....shughuli inawarudia wale woote waliokuwa wakimletea dharau....NYUMAAA GEUKA...WAKWANZA ANAKUWA WA MWISHO.. ..
Ndio inavokuaga hivo,dharau duniani hazifai,hakuna ajuae kesho
 
Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Kweli huwezi kumuondoa mwenye nchi kwani nchi ni mali yake anayo hatia militia aliyokuwa na Mungu. Ni Mungu pekee ndiyo anaweza kumtoa siyo mwanadamu
 
Back
Top Bottom