Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Wapi nimewataja hao? Kwa nini unanitajia majina yao?
Kwa sababu hao walipewa nafasi ya kuongea.Ukweli unauma mkuu.
Wapi nimewataja hao? Kwa nini unanitajia majina yao?
Mama Samia baada ya kukataliwa angejiongeza kwa kumpa Lema nafasi kabla ya kuzungumza
au aliogopa kutumbuliwa na kipenzi cha gambo na madereva.
Kwa hiyo unamuita Mama Samia Suluhu ni kibendera???Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Hawana sera kwa sasa mkuu. Sera yao kuu ni matukio. Si unajua kukemea ufisadi ndiyo ilikuwa sera yao na ndiyo iliyowabeba na kutambulika kote nchini. Kwa sasa midomo yao kamwe haiwezi kutamka neni FISADI. Sababu kuu ya kutotamka neno hilo bila ya shaka unailewa..Kiki hadi misibani
Mtu mwenye huzuni halilii kuongea msibani kamwe
hawa tunako elekea watakuja kuombea misiba mikubwa itokee kwao
wapate kiki
Si lazima kila mtu ajadili kilicho akilini mwako huo ni ujinga na upumbavu ambao unao maana hayo ni matukio ndani ya tukio hutaki yajadiliwe?? Hujion wewe ndio kilazaa humu?? Huwezi kujadili tukio moja tuu wakati ndani ya tukio hilo kuna matukio mengine ndio maana katika mziki kila mtu kuna kilicho mvutia ,wengine sauti, wengine melody ,wengine styles ,wengine wanavutiwa na watu waliomo ndani ya mzik nk si lazima kila mtu apende unacho kitaka wewe huo ni ujingaSwali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Unajua kusoma?Kwa sababu hao walipewa nafasi ya kuongea.Ukweli unauma mkuu.
Nani atamtoa gambo alipo wakati aliye mteua ndio anavyotaka nchi hii(ccm) wale ni (wapinzani) wawapi ndio waongee na watu waliokosea kuwachagua haha . eti anataka kufuta upinzani kabla ya 2020 .Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Bado mnataka tukuombee??Toeni upuuzi wenu wakufanya siasa katika kila jambo kwani mbowe ni nani mpaka ampangie mkuu wa moa chakufanya.?
Sio lazima kila mtu ajadilikilicho kichwani mwangu, kwa sababu sio kila mtu yuko kichwani mwangu na anajua ninachojua na ndiyo maana nakiweka hapa kijadiliwe.Si lazima kila mtu ajadili kilicho akilini mwako huo ni ujinga na upumbavu ambao unao maana hayo ni matukio ndani ya tukio hutaki yajadiliwe?? Hujion wewe ndio kilazaa humu?? Huwezi kujadili tukio moja tuu wakati ndani ya tukio hilo kuna matukio mengine ndio maana katika mziki kila mtu kuna kilicho mvutia ,wengine sauti, wengine melody ,wengine styles ,wengine wanavutiwa na watu waliomo ndani ya mzik nk si lazima kila mtu apende unacho kitaka wewe huo ni ujinga
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
.Kiki hadi misibani
Mtu mwenye huzuni halilii kuongea msibani kamwe
hawa tunako elekea watakuja kuombea misiba mikubwa itokee kwao
wapate kiki
Hawana sera kwa sasa mkuu. Sera yao kuu ni matukio. Si unajua kukemea ufisadi ndiyo ilikuwa sera yao na ndiyo iliyowabeba na kutambulika kote nchini. Kwa sasa midomo yao kamwe haiwezi kutamka neni FISADI. Sababu kuu ya kutotamka neno hilo bila ya shaka unailewa.
Toeni upuuzi wenu wakufanya siasa katika kila jambo kwani mbowe ni nani mpaka ampangie mkuu wa moa chakufanya.?
Ninyi nyote huwa nawafananisha na kopo la kuchambia kazi yenu ni moja tu kusafisha uchafu matak*ni na kuyaacha mat*ko yakiwa safi. na mnaiweza kazi hiyo hongereni kwa umahiri mkubwa.Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Huu sio msiba wa CCM ila hawa CCM wameonyesha political immaturity kupitia utoto uliofanywa na huyo Gambo.Lema kwenye misiba/sherehe za CCM ni kama Mzamiaji. Hawampendi hata kumuona. Pole Mbunge Lema unatengwa walipo kama mwenye Ebola.
Ni Kinana.Umesema ulikaa jukwaa kuu ww ni nan lowasa au mbowe
Au mbunge wa mikumi professor Joseph Haule wapo poa. Tatizo la watoto wa Arusha na kilimanjaro. Wamejawa na sifa za kipuuzi puuzi tuu. Wanataka kila kitu mashindano. Kama sehemu awajakupa heshima yako unatuliza pumbu zako na kutulia, na sio mashindano mashindanoMbona sugu na makala mbeya wanaishi vzur sanaaa hawa ma Rc ambao wapo instagram wanatabu sana
Upumbavu zaidi ni wako, kusema kitu upumbavu bila kuonyesha vipi na kwa nini.Upumbavu mtupu ulicho andika na unacho bwabwaja hapa tofauti , ondoa ujinga kichwan kwanza maana hata hujui unasimamia kipi, na ulivyo ju'ha mwenyewe unajiona una hojja kweli kweli kumbe maavi matupu!!. Agghhhhhh ptuuuu!!