RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Ndani ya Sheikh Amri Abeid! !rusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.

Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji

Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri

Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa

Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Haya mmeamua kutafuta biashara nyingine baada ya kushindwa ya Kinana.!! Daaaaaa !
 
Gambo siasa za chuki hazitakusaidia kumchukia Lema ni kutuchikia wakazi wa Arusha
 
Naandikakuhusu tunaojadili hapa, sasa kamakuna mtu ana mhemkoni wewe unayetoamaneno yangu nje ya context.

Pia, hata hao kina Gambo na wapinzani sijawasikia wakijadili jinsi ya kutatua tatizo la ajali.

Siamsikia Lema akiongea kuhusu kutatua tatizo la ajali, nasikia analalamika hajapewa mualiko kuhutubia.

Zaidi,unapoandika "angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa" huyo Mama Samia ni Mungu mtu gani atoe utatuzi wa janga hili?

Hiii habari ya kufikiri viongozi wana uwezowa kutatua matatizosugu ya nchi, na tunachotakiwa kufanya ni kuwaomba tu watoe funguo za kufungua mlango ambao una utatuzi wa matatizo haya, ni ukosefu wa fikra na utapiamlo wa mawazo.

Nani ana mhemko sasa?

Mkuu;
Mbona unalipigia jibu mstari?? Unauliza ati Nnani mwenye mihemko?? Hujioni?? Yaani hata kusoma ulicho andika ni kazi kwako?? Pole zako. Sibishani na wenye mihemko, naona BP ishakupanda tiyari. Angalia usije anguka gizani saa hii wakasema ulikuwa miongoni mwa wahanga wa hiyo ajali
 
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.

Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji

Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri

Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa

Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Vipi kama alimuuliza ''Hawa vipi, tuwaweke??'' Gambo akamjibu hapana... watachafua hali ya hewa!Bado unataka tukuamini??
 
kama hii ni kweli basi ni dharau kwa mamlaka ya Makamu wa raisi haina mfano, achukuliwe hatua za kinidhamu
 
Mkuu;
Mbona unalipigia jibu mstari?? Unauliza ati Nnani mwenye mihemko?? Hujioni?? Yaani hata kusoma ulicho andika ni kazi kwako?? Pole zako. Sibishani na wenye mihemko, naona BP ishakupanda tiyari. Angalia usije anguka gizani saa hii wakasema ulikuwa miongoni mwa wahanga wa hiyo ajali
Umeruka hoja umeleta viroja.

Hujibishani na mwenye mhemko wakati ushanijibu na utanijibu?
 
Na kuonyesha hilo limemkera Mh Makamu wa rais ikabidi awatambue wakati anajiandaa kutoa pole. Sasa asiye jaribiwa au kupangiwa atafanya jambo??
Sijamsikia akimtaja Lema, nimesikia amemtaja Meya tu,
 
Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Mbowe kaongea kama Nani ? Na kivipi mbunge hajaongea?
 
Inawezekana muda huu analaumiwa Magufuli lkn lazima turudi ktk ukweli kwamba haya ni makosa toka tawala zilizo pita hasa baada ya mwalimu Nyerere na mzee Mwinyi. Kuna teuzi za hovyo sana bila wahusika kuangalia hata mahali wanapeleka wehu wao! Mtu hana uzoefu wowote wala hajui diplomas unateua kuwa mkoa kama Dar au Arusha!!
 
Mnaoiona sio hoja ya msingi mna matatizo makubwa sana!
Hivi nani kafiwa kati ya gambi na Lema? Nani alichaguliwa na wana Arusha ambaye angeongea wafiwa wangepata faraja?

Kutambua uwepo wa jokate na bashite kulikuwa na umuhimu kuliko Mbunge na Meya wao wana Arusha?!

Hawa vijana wawili bashite na gambi inabidi wajitafakari mtawala mpya ajaye hata kama ni wa ccm watakuwa wapi, maana tunaona kila mtawala mpya wa ccm anakujaga na watu wake.
 
Ivi mkuu wa shule aliongea? Vp kuhusu mwenyekiti wa serikali ya mtaa shule ilipo? ivi Mboe si aliongea!
 
Kikubwa nawasikitikia hawa vijana
Baadae watafanya nini wakitoka madarakani
 
Sijaongelea viongozi.

Naongelea wananchi hapa jamvini.

Hao viongozi bila msukumo wa wananchi hawawezi kufanya lolote la maana.

Na wananchi wamebaki kukaa kuwaangalia viongozi.
Mwananchi hana mamlaka zaidi ya kutoa mwongozo na mawazo yake kwa viongozi wao ili kuweka sheria za kudhibiti ajali.Sasa ndiyo hao wanahold hata misiba utegemee nini cha maana.
 
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.

Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji

Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri

Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa

Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Hao ndiyo vichwa vya CCM Mkuu wangu.

Lakini huyu ndiye aliyefukuzwa kazi na Tume ya Nidhamu ya watumishi wa Umma baada ya Kumtukana Wakili wa Halmashauri kwamba amepata degree kwa chupi.

Huyu asiye na nidhamu Rais wetu aka Mwenyekiti wenu akamuona ndiyo kichwa sababu CV yake Inaonyesha ni mtu mwenye matusi na chuki na pia ni Msukuma.

Huyu I mmoja wa watu wachache wanapewa kichwa na Mkuu wa nchi,usitegemee ataguswa.

Pole.Bastola ya kupoteza wanaohoji.
 
Mwananchi hana mamlaka zaidi ya kutoa mwongozo na mawazo yake kwa viongozi wao ili kuweka sheria za kudhibiti ajali.Sasa ndiyo hao wanahold hata misiba utegemee nini cha maana.

Mamlaka yote katika nchi yanatoka kwa mwananchi.

Ndiyo maana hao viongozi wanahitaji kupata kura za wananchi.

Hao wabunge wanaotunga sheria wanachaguliwa na wananchi na wanawakilisha wananchi.

Kama viongozi hawafanyi wanachotakiwa, wananchi wamewadekeza.
 
Back
Top Bottom