RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Kudhibiti kunategemeana na CHANZO CHA AJALI.

Najua wengi watasema chanzo ni MWENDO KASI au UZEMBE WA DEREVA.

Wengi husahahu kwamba GARI LENYEWE na hata BARABARA pia ni vyanzo vya ajali.

Tuboreshe barabara kama tunahitaji kusafiri salama kwa magari. Lazima tuwekeze kwenye barabara za lami ZENYE VIWANGO.
Unawezakuweka barabara za lami halafu barabara za lami hizo ndizo zikawa kichocheo cha mwendokasi zaidi.

Barabara za lamizinatakiwa, na serikali imejitahidi kiasi chake, lakini tunahitaji zaidi ya barabara za lami.

Katika nchi ambayo uhai wa mtu hauna thamani na uelewa wa watu kwamba gari ni chombo cha hatari unaweza kutiliwa shaka pale abiria wanapomhimiza dereva aende kasi, aukushindwa kumkemea dereva anapoenda kasi, tunahitaji zaidi ya barabara za lami.

Kwa mfano.

Shule ilihakikishaje kwamba basi lililochukua wanafunzi ni salama? Waliopanga safari walihakikisha gari limefanyiwa fullcheckup hivi karibuni? Waliangalia rekodiza kampuni/ dereva kuhusu usalama? Walichukua tahadhari kutojaza watu zaidi ya kiwango? Walijipa muda wa kutosha kusafiri ili kusihitajike kwenda kwa mwendokasi?

Wazazi wana ufuatiliaji gani katika haya mambo? Au mtoto akiwa shule kila kitu anaachiwa mwalimu tu?
 
Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Hii nchi mwanamke hathaminiki kabisa ahaa naona Rc kamuona makamu kama mkewe Nyumbani, Hapa wanawake wa Tanzania wajipime na Safari yao ya haki sawa
 
Watu kutojiuliza haya maswali, imenifanya nianze kuogopa sana kama taifa tunaelekea wapi au labda tumefika wapi. Kutwa mijadala yetu ni mambo ya kitoto tu.
What you see is reality; everything else is superficial!
 
Toeni upuuzi wenu wakufanya siasa katika kila jambo kwani mbowe ni nani mpaka ampangie mkuu wa moa chakufanya.?
Mbona gambo ni karunguyeye tu na sisi hatusemi?
Mpuuzi ni yule mama aliyepuuzwa na watoto wa kuwazaa mwenyewe.
 
Who is lema? Who is meya? Wao walikuwa nyumbani. Wana fursa ya kuita mkutano siku yoyote hapo wakaja wananchi wakawahutubia. Wakitaka hata kesho. Ya leo acha ipite
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.

Mkuu;
Nadhani huna kasoro kichwani bali ni mihemko tu inakuongoza. Unajuaje pengine hao waliokataliwa kuongea pale wangeweza kuyasema hayo?? Kwa kuwa mama Samia hakuyasema hayo basi ni haki yako kumlaumu Gambo kuwa, badala ya kushughulika na kuwaponda viongozi wa upinzani ambao walifika pale kwa tukio hili muhimu, angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa. Sio kumkatalia kiongozi wake amri tena hadharani. Mleta mada anatuonesha jinsi ambavyo nchi sasa inaongozwa na kina bashite
 
Naamini Lema na mbowe wakatoa solution ya kutatua tatizo,,,,,but binafsi sijafurahishwa na kitendo cha gambo!!!
 
Who is lema? Who is meya? Wao walikuwa nyumbani. Wana fursa ya kuita mkutano siku yoyote hapo wakaja wananchi wakawahutubia. Wakitaka hata kesho. Ya leo acha ipite
Chama kina wenyewe ambao kilitusaidia kwenye biashara zetu enzi za mkwere tunakula tulivyokitumia, Nyie pigeni kelele kwa kipindi hiki cha Rais huyu, Ikifika wakati wa kampeni mambo ya pesa yakikata atarudi kwa Sisi business Person kufinance kwa masharti mazuri ya kodi,
 
Hii nchi mwanamke hathaminiki kabisa ahaa naona Rc kamuona makamu kama mkewe Nyumbani, Hapa wanawake wa Tanzania wajipime na Safari yao ya haki sawa
Pole sana kwakuwa Kibendera
 
Lema si mzee wa fujo
kwanini hakuvamia ili aongee na yeye!!
 
Mkuu;
Nadhani huna kasoro kichwani bali ni mihemko tu inakuongoza. Unajuaje pengine hao waliokataliwa kuongea pale wangeweza kuyasema hayo?? Kwa kuwa mama Samia hakuyasema hayo basi ni haki yako kumlaumu Gambo kuwa, badala ya kushughulika na kuwaponda viongozi wa upinzani ambao walifika pale kwa tukio hili muhimu, angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa. Sio kumkatalia kiongozi wake amri tena hadharani. Mleta mada anatuonesha jinsi ambavyo nchi sasa inaongozwa na kina bashite

Naandikakuhusu tunaojadili hapa, sasa kamakuna mtu ana mhemkoni wewe unayetoamaneno yangu nje ya context.

Pia, hata hao kina Gambo na wapinzani sijawasikia wakijadili jinsi ya kutatua tatizo la ajali.

Siamsikia Lema akiongea kuhusu kutatua tatizo la ajali, nasikia analalamika hajapewa mualiko kuhutubia.

Zaidi,unapoandika "angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa" huyo Mama Samia ni Mungu mtu gani atoe utatuzi wa janga hili?

Hiii habari ya kufikiri viongozi wana uwezowa kutatua matatizosugu ya nchi, na tunachotakiwa kufanya ni kuwaomba tu watoe funguo za kufungua mlango ambao una utatuzi wa matatizo haya, ni ukosefu wa fikra na utapiamlo wa mawazo.

Nani ana mhemko sasa?
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Kama heshima haipo nani atakaa na nani kushauriana kumaliza tatizo.Ikiwa mtunga sheria anazuiwa hata kusema.
Kiburi cha viongozi kadhaa wa ccm ndiyo matunda haya tunayovuna.Umesahau aliyesema rushwa ni hela ya kubrashia viatu tu sasa ulitegemea nini kama siyo haya.
Semeni ukweli muwe huru.
 
Hivi ni ulevi wa madaraka au kutokufahamu Protocol?
 
Kama heshima haipo nani atakaa na nani kushauriana kumaliza tatizo.Ikiwa mtunga sheria anazuiwa hata kusema.
Kiburi cha viongozi kadhaa wa ccm ndiyo matunda haya tunayovuna.Umesahau aliyesema rushwa ni hela ya kubrashia viatu tu sasa ulitegemea nini kama siyo haya.
Semeni ukweli muwe huru.
Sijaongelea viongozi.

Naongelea wananchi hapa jamvini.

Hao viongozi bila msukumo wa wananchi hawawezi kufanya lolote la maana.

Na wananchi wamebaki kukaa kuwaangalia viongozi.
 
Back
Top Bottom