Mkuu kama kawaida yako huwa humung'unyi maneno nami lazima nikupongeze bila unafiki hongera sana kwa kuwa the real GTNdani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Yaani uongozi wa juu katika jamhuri yetu uko hivi,, Rais ni huyo huyo, anayefuatia hapo ni Bashite, akitoka huyo anakuja Gambo-shi baada ya hao ndo akina Samia na Majaliwa wanafuatia. Hivi unaanzaanzaje kwanza kumgomea Makamu wa Rais kwa mfano? Huyu si ni Rais anayesubiri? Hivi leo hii kama Rais hayupo makamu si ndo anashika mahali pake? Haya bwana yetu macho, ngoja Magu awapoteze!!Hawa watoto BASHITE na Gambo wanamdharau sana mama Samia Suluhu.
Hamna marefu yasio na ncha
Ni Kinana.
kwan kinana kafichuliwa lema alisema amefichwa kama sukarKuna wakati hata kichaa hujion ana akili kuliko wazima nadhani na wewe ndivyo ulivyo ,kwa wenye akioi timamu wanaijua busara ya lema na sio chuki na nguvu za kupuuzi za hao wengineNonsense. Mwenye akikli timamu hawezi kukubali Lema aongee hadharani mbele wageni wenye heshima zao.Heshima mbovu aliyoonywsha wakati wa kufungua mradi ule Arusha mbele ya wageni hatujasahau.Yaani huyu bwana Lema kukiwa na wageni anatakiwa afungwe kamba shingoni kisha afungwe kwenye mti mpaka wageni waondoke ndipo afunguliwe
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Anayetafuta kiki ni RC Gambo chief, kama yeye hatafuti kiki kwanini hakumpa Lema mic ili tumtofautishe na wengine.........kwa kufanya hivyo wananchi wangeamua......na hii sio Mara ya kwanza, tumeona wakija viongozi mbalimbali Dar es Salaam, hata kumtambulisha Meya CCM wanaona kama wanampa tiketi ya peponi, hakuna kitu mutaongea khs hili jamii ikawaelewa.........jitafakarini upya.Lema hakuonekana hapo kabla kuwatembelea wafiwa
lema hakuonekana akiwatembelea majeruhi
Ila wakwanza kuomba aongee yeye msibani kuliko kiongozi wake Mbowe!!
Mtatafuta kiki mpaka Kuzimu ninyi maana sio bure ni kulaaniwa huku