Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Yaan chawa wa WCB wakipewa bundle tyuuh, bas akili zao zinahama. Hivi kweli huyu mnyakyusa anaweza kumfikia ngwair kwa lolote?
Tobaaaah wee, kwan kuna ulazima gan kuwashindanisha au kuwafananisha wasanii wenu na wa nje. Na bado hai match aaaaah
Jamani tumechoka mapambio yenu yasiokua na maana. Msieeeeew.
 
Wanaopinga huu ukweli ndo walete Ushahidi wa wasanii wao wanaoamin wanamzidi Vannboy a.k.a Mme wa Paula ..... Sometyme twende Kwa data
Hakuna data watakupa alaafu huyo kashafariki tunatunza Heshima hapa ya misamiati ya staha ila kimziki ni utopolo.

Utawawekea Data za Chuiii ya Online Digital platform wao hawana wanamtetea kwa kutaka huruma
 
Nyie huwa mnajali hayo? Kila anayekosana na bosi wenu anageuka kuwa adui siku si nyingi atajitoa huyu utarudi kumtukana hapa tupo na teknoloj haiongopi
Kwa nin ukosane na boss wako , ? Kwa nin usitoke Kwa Amani ?? Rayvanny hawezi kufanya huo ujinga , anatambua msaada wa boss wake , na ataondoka Kwa Amani na baracka zote na still atakuwa na share WCB , sio hao wajinga waliokarbishwa na bado wakaondka Kwa matusi na kejeli + dharau , wakanyea kambi ...wacha wale jeuri Yao , tunatambua mafanikio ya mtu hupangwa na Mwenyezi Mungu , hata hvyo Mungu huyo huyo anahtaji tuwathamini wale ambao aliwatumia ili tupate mafanikio......
 
Wachache watakuelewa boss , kimsingi Rayvanny ndo msanii hapa bongo , hata Mond anajua , huyo mwamba ni full package sjutii kuwa shabiki wake kindakindaki ..... Jamaa next level
Nilijua lazima nikukute hapa😆😆😆 kiukweli mm vanny ndo kafanya kidg nianze kuwafuatilia dabulisibi😁😁 Vanny namkubal sana na nampaisha sanaaaaa
 
Back
Top Bottom