mangwea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. central midfielder

    Fid Q Vs Ngwair

    Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
  2. sinza pazuri

    Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

    Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui. Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi hii naweza kusema yupo mbele ya wakati. Anaweza kufanya aina mbali mbali za muziki na akaua. Anaweza...
  3. Kanungila Karim

    Ungemnunia Mangwea, kazi yake ingekupa tabasamu

    APRILI 8, 2012, ilikuwa Pasaka. Wakati huo nilikuwa Mhariri Mwandamizi wa magazeti ya Global Publishers LTD, vilevile Mratibu Mkuu wa Matukio wa kampuni. Na kwa nafasi hiyo, pia nilikuwa Mwandaaji Mkuu wa matukio kwenye ukumbi wa Dar Live, uliopo Mbagala Zakhem. Kipindi hicho, Dar Live...
  4. Dejane

    Nakumiss Mangwea

    Leo nimemmiss huyu mkaka, popote aliko ajue nimemmiss na tunamiss nyimbo zake nyingi tu. Sikupenda ufe Mangwea nilikua shabiki wako kufa jamani ulikua unanichanganya akili ukinichania mistari yako. Jamani ardhi inameza, Ngwea nilikua namkubali alinifanya nipende hip hop nipende free style...
  5. matumbo

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa kumuaga marehemu Albert Mangwea, katika viwanja vya Leaders Club leo. Wasanii wanaaga Mbunge Idd...
Back
Top Bottom