Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

....bro, unamlinganisha mwanachemba na huyu mbana pua, umezingua bhana. Mlinganishe na mbana pua mwenzake hata Joslin
 
Rayvany mkali japo kumfananisha na ngwea umejianzia tu! Alf kinazidishaga kubana pua hki kijamaa kam wimbo wake WA I love you anaimbia puan mpk so poa pia mixing znawabeba sana,yote Kwa yote acha wapige hel t mda wao huu
 
Kuna jank mmoja anaitwa gifted son huyu ndio ngwea mtupu sema anajificha mno kuna wimbo kaimba na frida amani mtafute utamsikia
 
Back
Top Bottom