Rav 4 vs Xtrail

Rav 4 vs Xtrail

nina xtrail ya 2004 toka sbt japan, hii ni ya ukweli sana barabarani kwenye comfortability na stability vilevile inachapa sana mwendo. sina uzoefu na rv4
Hivi hizi engine specs kama xtrail s or xtrail x ipo ni nzuri zaidi..napenda xtrail nataka kuagiza
 
Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo
Mkuu tuelimishane,ukiingia kwenye mtandao kuangalia magari,kama vile SBT na Beforward,nikienda kuangalia specs za xtrail nitajuaje kuwa hii iko na turbo na nyingine haina. Nitashukuru kama niatelimishwa kwa yeyote anaejua. Natambua uzi ni wa zamani,lakini siyo mbaya kuufufua.
Nikichangia kuhusu RAV ile ya zamani ni ngumu,ila adui wake ni foleni. Angalau ile killi time ya engine ya VVTI-1ZZ iko poa. Ila usichukue ya D-4Engine,inasumbua labda kwa sababu mafuta yetu au oil zetu siyo classic.
 
Maneno ya vijiweni hayo. Nina Nissan Xtrail ya mwaka 2004 mpaka sasa nina mwaka mmoja tokea View attachment 138974 imenunua, consumption ya mafuta ipo vizuri kabisa, more comfortable than Rav especially ukiwa safari ndefu. Ni gari inayovumilia sana hata katika njia za vumbi, wakati inafika ilikua ball joint inagonga nilikaa nayo Miezi minne huku ball joint inagonga na ni katoka nayo Iringa to bariad mara mbili ikiwa hivyo hivyo. Sasa waulize wenye GX 100 wakueleze kama ball joint ikianza kugonga atatumia muda gani. Kwa upande wa spare zipo nyingi tu tofauti ni hydrolic ya Gia box tu
Hydraulic ya Gear Box,ina utofauti gani na hizi tulizozoe kununua Total,ORYX na Puma?Je kuhusu Oil ya Diff nayo ni za kawaida au?!
 
X-Trail bomba sana...imetulia sana barabarani...
RAV 4 nimeshakuwa nayo nikaapa sitakaa ninunue ile gari aisee...kila siku shockab mbovu....mara vyuma vinagongagonga...baada ya kusikia wenzangu wana lalamika kama mie nikajua hii gari ina kaugonjwa ....utamalizia ela gereji...

Lakini X trail gari inakamata lami vizuri...imetulia sana...
Lakini X Trail nanunua tena na tena...nikiona model mpya natamani niwe nayo...
Ila RAV 4 pytu...kwanza haina space...full kubanana
 
Hydraulic ya Gear Box,ina utofauti gani na hizi tulizozoe kununua Total,ORYX na Puma?Je kuhusu Oil ya Diff nayo ni za kawaida au?!
Hydraulic ya gear box mostly ni FLUID MATIC J ambayo lita 1 ni kuanzia 50,000 (genuine) na unahitajika atleast 4 litres at per...hio ni tofauti sana na ulizotaja mkuu.
 
Mkuu tuelimishane,ukiingia kwenye mtandao kuangalia magari,kama vile SBT na Beforward,nikienda kuangalia specs za xtrail nitajuaje kuwa hii iko na turbo na nyingine haina. Nitashukuru kama niatelimishwa kwa yeyote anaejua. Natambua uzi ni wa zamani,lakini siyo mbaya kuufufua.
Nikichangia kuhusu RAV ile ya zamani ni ngumu,ila adui wake ni foleni. Angalau ile killi time ya engine ya VVTI-1ZZ iko poa. Ila usichukue ya D-4Engine,inasumbua labda kwa sababu mafuta yetu au oil zetu siyo classic.
Baadhi ya xtrail zenye turbo utaona pale kwenye specification ina neno "GT"
 
Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!
Jamaa muongo ww khaa
 
Xtrail ni nzuri sana,hata barabarani iko stable,huyu anaesema spare zake ni shida labda ni kwa new model lakini zile za zamani spare za kumwaga ..
 
Hydraulic ya gear box mostly ni FLUID MATIC J ambayo lita 1 ni kuanzia 50,000 (genuine) na unahitajika atleast 4 litres at per...hio ni tofauti sana na ulizotaja mkuu.
Mkuu,hiyo inauzwa wapi kwa hapa Dar?
 
Back
Top Bottom