Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
Kama fedha yako ndogo, nunua X-Trail, ni cheaper. Lakini kama unayo fedha ya kutosha go for Recreational Active Vehicle 4.
X Trail, kama zilivyo models zingine za Nissan za chini ya CC 3000 ni gari ya hovyo. Ukitaka kujua model fulani ya gari ni hovyo, angalia kwenye magereji na back yard yametelekezwa kiasi gani.
Xtrail...mimi hapana.