Rav 4 vs Xtrail

Rav 4 vs Xtrail

Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo

nimetumia zote mbili on daily basis meaning nilikuwa nazo zote at the same time kibiashara[hata wateja walikuwa hawataki xtrail]...rav4 2004 na x-trail 2003....xtrail inakunywa mafuta sana ukilinganisha na rav4 na hata ukiendesha u feel jinsi ilivyo powerful.....nazijua hizi gari mbili mpaka basi
 
Nipo kijjn singida rough road about 50 km from town natumia xtrail mafuta haili kabisa nina mwaka now cjapata tatizo lolote, inategemea umeinunua wapi hiyo xtrail SBT japan ndo mpango mzima, my friend has Rav4 New model haipiti miez 2 bila yy kushinda garage na inamtesa mafuta pia
 
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4

Ok hapo sawa hizo Rav4 ni 3s engine kwa kweli hapo lazima uone tofauti kaka Patrickn
 
Last edited by a moderator:
Nipo kijjn singida rough road about 50 km from town natumia xtrail mafuta haili kabisa nina mwaka now cjapata tatizo lolote, inategemea umeinunua wapi hiyo xtrail SBT japan ndo mpango mzima, my friend has Rav4 New model haipiti miez 2 bila yy kushinda garage na inamtesa mafuta pia

Kuna kitu hujaeleza hapa,weka miaka ya production na engine type halafu mjadala utakaa sawa!!!!!!
Halafu hao SBT wanaweza kuuza gari nzuri kuliko NISSAN dealer???!!!! Achana na wauzaji weka hizo specs!!!!!!
 
Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo

Xtrail yako ni model ipi mkuu na uliinunua kwa shs ngapi?
 
Binafsi ninauzoefu na gari zote, rav 4 ni bora kuliko xtrail, tofaut yake ni kwamba xtrail ipo comfortable kuliko rav 4, lkn rav 4 ipo xpensive kuliko xtrail kwa terms zote ikiwa ni pamoja na fob value (bei ya kununulia) pamoja na kodi yake labda kwa rav 4 old model, kikubwa angalia interest yako! Kila la kheri!
 
Usinunue kabisa gari ya Nissan sio tu xtrail utalia kaka. No spares, km zipo ni very expensive. Kwa sie wenye vipato vidogo, Toyota ni gari ya uhakika

Maneno ya vijiweni hayo. Nina Nissan Xtrail ya mwaka 2004 mpaka sasa nina mwaka mmoja tokea image.jpg imenunua, consumption ya mafuta ipo vizuri kabisa, more comfortable than Rav especially ukiwa safari ndefu. Ni gari inayovumilia sana hata katika njia za vumbi, wakati inafika ilikua ball joint inagonga nilikaa nayo Miezi minne huku ball joint inagonga na ni katoka nayo Iringa to bariad mara mbili ikiwa hivyo hivyo. Sasa waulize wenye GX 100 wakueleze kama ball joint ikianza kugonga atatumia muda gani. Kwa upande wa spare zipo nyingi tu tofauti ni hydrolic ya Gia box tu
 
Binafsi nimeshawahi miliki RAV4 ya 2002, na Nissan Xtrail ya 2005. Nissan Xtrail haikula pesa zangu kwenye mafuta kama RAV4. Xtrail ilikuwa more comfortable zaidi ya RAV4. Nissan Xtrail ilikuwa stable zaidi kwenye mwendo mkali zaidi ya RAV4. Spare za Xtrail na RAV4 hazikunisumbua, maana huwa sikai na gari kwa muda mrefu nauza; ila wazoefu wanasema Nissan haina spare fake. Wengine huwa tunapenda dashboards ambazo ziko full loaded; japo zote si nzuri; lakini ya RAV4 inachosha, utadhani uko kwenye Vitz.
 
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4

Ulaji haupishani sana. Kwa mfano RAV4 hiyo uliyoitaja ni ya muda kidogo, hata mfumo wake wa umeme sio sana, haina airbag.Kuanzia 1997 hadi 2000, hasa 1998-2000 RAV zile zile za Engine ya 3S zilianza kuwekwa mfumo wa umeme kwa kiasi hivyo kusaidia kupunguza ulaji mafuta. Xtrail ni nyepesi umeme ni mwingi hivyo iko laini comfortable. Ila mimi ukiniuliza uniwekee magari matatu directly imported from Japan: RAV4 1998-2000 3S engine, RAV4 2001-2004 1ZZ engine, na Xtrail 1997-2007, nitachagua RAV4 Old Model la miaka na Engine niliyoitaja
 
achana na toyota nunua nissan navara spare ikichoka unageuza upande wa pili mwendo mdundo!
 
nimetumia zote mbili on daily basis meaning nilikuwa nazo zote at the same time kibiashara[hata wateja walikuwa hawataki xtrail]...rav4 2004 na x-trail 2003....xtrail inakunywa mafuta sana ukilinganisha na rav4 na hata ukiendesha u feel jinsi ilivyo powerful.....nazijua hizi gari mbili mpaka basi

kwahiyo kuna wakati zinakuwa kama basi?
 
Pamoja na kuwa sijauliza Swali lakini mmenifundisha vingi, sijamiliki Rav4 japo nimekuwa naendesha ya rafiki mara kadhaa, kwa maelezo ya wengi naona Nissan X-trail inaonekana ni comfortable na more durable hofu ya watu ni Spare, najiuliza spare gani? Kama mnaongea oil filter sawa lakini kama ni vingine ni matunzo tu. Maana nilikuwa na Pajero GDI watu waksema spare aghali nimekaa nayo kwa miaka miwili na nusu sikuona ughali maana sikuwahi kubadilisha zaidi ya filter na hiyo gari ilipita hata njia za ajabu ikiwemo porini kusiko na Njia, Nami na agiza Xtrail maana nanua gari kwa comfortability na sio gharama ya Spare.
 
Back
Top Bottom