Awakener The Lone Wolf
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 259
- 233
Wadau wa elimu naombeni msaada kati ya kozi hizo mbili ipi ni nzuri kwa miaka hii na ina future nzuri kwa miaka ijayo
Wadau wa elimu naombeni msaada kati ya kozi hizo mbili ipi ni nzuri kwa miaka hii na ina future nzuri kwa miaka ijayo
Shukran mkuuFanya data science and AI
Ndipo dunia inapoelekea kwa kasi sana, mifumo mingi inaenda kufanya kazi kutumia hivi vitu mbiliShukran mkuu
Ila ungetoa maelezo kidogo kwanini hyo
Soma Data Science, kama wazazi wako njema Kasome India.Wadau wa elimu naombeni msaada kati ya kozi hizo mbili ipi ni nzuri kwa miaka hii na ina future nzuri kwa miaka ijayo
Aikoooo...Soma Data Science, kama wazazi wako njema Kasome India.
Kuna madogo nimesoma nayo chuo yapo eGa mishahara safiii
Sina wakunipeleka huko acha tukomae humuhumuSoma Data Science, kama wazazi wako njema Kasome India.
Kuna madogo nimesoma nayo chuo yapo eGa mishahara safiii
Wapo wanaobahatika ila ni wachacheAikoooo...
Hizi hizi kauli mkawaponza watoto wa watu kwenye petroleum hadi TPDC
Nina mwanangu kapiga Petroleum sahizi ni mtu wa sales ya lubes😂Aikoooo...
Hizi hizi kauli mkawaponza watoto wa watu kwenye petroleum hadi TPDC
Kwa namna gani mtu anaweza kujiajiri kwa kozi yoyote kati ya hizo mbiliGeoinfomatics hapana Kapige Data science japo jua kabisa Soko la Ajira ni gumu vibaya sana hata kwa hiyo Data science
Kuna mdogo wetu sasa yeye mpaka kesho kila akitupigia simu anaanza na lawama kwanza 😁😁 kwanini tulimshauri.Nina mwanangu kapiga Petroleum sahizi ni mtu wa sales ya lubes😂
Sasa si hata ugofogle nyie watoto hizo div 1 mnazipataje sikuhizi?!Shukran mkuu
Ila ungetoa maelezo kidogo kwanini hyo
Nani mtoto umeambiwa hapaSasa si hata ugofogle nyie watoto hizo div 1 mnazipataje sikuhizi?!
Kwa computer science unaweza vp kujiajiriSoma kozi zinazo eleweka mkuu. Unasomeaje data science na AI? Kama mpango wako unapenda kozi hizo soma computer science utayakuta humo.