Rav 4 vs Xtrail

Rav 4 vs Xtrail

Maneno ya vijiweni hayo. Nina Nissan Xtrail ya mwaka 2004 mpaka sasa nina mwaka mmoja tokea View attachment 138974 imenunua, consumption ya mafuta ipo vizuri kabisa, more comfortable than Rav especially ukiwa safari ndefu. Ni gari inayovumilia sana hata katika njia za vumbi, wakati inafika ilikua ball joint inagonga nilikaa nayo Miezi minne huku ball joint inagonga na ni katoka nayo Iringa to bariad mara mbili ikiwa hivyo hivyo. Sasa waulize wenye GX 100 wakueleze kama ball joint ikianza kugonga atatumia muda gani. Kwa upande wa spare zipo nyingi tu tofauti ni hydrolic ya Gia box tu

Yah mi pia ni ya 2004 kama hiyo na I really enjoy the ride maana naendaga nayo ruaha national park na ile barabara ina chips (mabonde madogo madogo) ila full enjoyable... sema ndio vile wabongo tumezoea Toyota halafu kila siku tunadanganyana kuhusu nissan hasa kwa vitu tusivyovijua.... mbona service ya xtrail elfu 15 tu unapata oil filter,oil pia Gapco inatumika na mtu unafanya service kwa elfu hamsini tu in total...hizo gharama watu wanazoziogopa ni zipi? Maana spea Dar kibao unapiga simu tu inafika mkoa
 
ushawahi kubadilisha ball joint ambazo zinabadilishwa complete na wishbone?
 
Mtu unanunua gari unaanza kuuliza:

Inakula mafuta?

Spare ghali eeh?

Unakuwa hujielewi
 
ushawahi kubadilisha ball joint ambazo zinabadilishwa complete na wishbone?
Sijawahi,ila hadi ubadili mkuu ni leo? Na unabadili mara ngapi kwani maana kama ukichkulia hivyo magari utayakimbia...sisi tunaangalia running costs tu ukiachilia mbali gharama zinazojitokeza ukipata noma
 
Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!

Sio kweli, wewe ni dhahiri hujawahi miliki xtrail, xtrail ni 4wd iweje ishindwe kupanda mlima
 
Sijawahi,ila hadi ubadili mkuu ni leo? Na unabadili mara ngapi kwani maana kama ukichkulia hivyo magari utayakimbia...sisi tunaangalia running costs tu ukiachilia mbali gharama zinazojitokeza ukipata noma

umesoma post yangu ya kwanza nilipofananisha xtrail na rav4?kaisome then utajua where i stand.
 
ushawahi kubadilisha ball joint ambazo zinabadilishwa complete na wishbone?

iweje uweze kununua gari zaidi ya 17m ushindwe kubadili hizo ball joint/wishbone? Ukimiliki gari usiogope gharama, hata ubane vipi gharama zipo tu.
Xtrail ndio mpango mzima, comfortable, stability, durability
 
Just that ! ungetoa sababu nadhani ungeeleweka zaidi

Spare parts za Toyota zinapatikana kirahisi na hata ukiishiwa au ukawa na shida ni very simple kuuza Rav 4 kuliko X trail, upande wa Mafuta mimi huwa sizungumzii katika gari isitoshe hiz gari mbili ulaji wake almost the same...!!
 
Mkuu xtrail siku hizi zipo nyingi sana, na spare zake sio tatizo kama unavyofikiria, na ni genuine, sio kama za rav4 ambazo spare magumashi zimejaa madukani. Kuhusu uuzaji wa rav4 kuwa inauzika kirahisi, sidhani kama ni kweli, mnunuzi mwenye busara anaangalia ubora wa gari na si urahisi wa gari
 
iweje uweze kununua gari zaidi ya 17m ushindwe kubadili hizo ball joint/wishbone? Ukimiliki gari usiogope gharama, hata ubane vipi gharama zipo tu.
Xtrail ndio mpango mzima, comfortable, stability, durability

hapa ndio mnapo-miss the point....sijasema utashindwa. unapolinganisha magari unaangalia factors nyingi ikiwemo gharama za uendeshaji na ndio spare parts zinakuja....alieleta thread kauliza kati ya rav4 na xtrail ipi bora kwenye factors tofauti ikiwemo gharama za uendeshaji...sasa mtu ukija hapa useme spare za xtrail na rav4 zina gharama sawa halafu unazungumzia oil filter??zungumzia real spares kama ball joints,wishbones,shock absorbers etc....hebu kanunue ACCESSORY BELT ya xtrail halafu linganisha na ya rav4....then njoo utuambie spare za xtrail ni sawa na rav4
 
iweje uweze kununua gari zaidi ya 17m ushindwe kubadili hizo ball joint/wishbone? Ukimiliki gari usiogope gharama, hata ubane vipi gharama zipo tu.
Xtrail ndio mpango mzima, comfortable, stability, durability

btw private car yangu ni EUROPEAN MAKE....naagiza hadi oil filter UK sasa mimi sio mtu wa kuogopa gharama za magari....nissan xtrail/rav4 nazitumia kibiashara ndio maana najua in and out ya hizo gari.
 
Mkuu xtrail siku hizi zipo nyingi sana, na spare zake sio tatizo kama unavyofikiria, na ni genuine, sio kama za rav4 ambazo spare magumashi zimejaa madukani. Kuhusu uuzaji wa rav4 kuwa inauzika kirahisi, sidhani kama ni kweli, mnunuzi mwenye busara anaangalia ubora wa gari na si urahisi wa gari

Aachane na zote anunue SUBARU Forester ya 2008 inakimbia balaa...!! Mi naifurahia sana
 
umesoma post yangu ya kwanza nilipofananisha xtrail na rav4?kaisome then utajua where i stand.
Kwamba umesimama wapi hiyo sio ishu kwangu mkuu, rav 4 nimetumia sana manual na auto na for the time being natumia xtrail so nasema kitu nachokijua...afterall xtrail hii ni ya pili baada ya nyingine ya uingereza yenyewe ni sport(2002) afu manual...so kama unaongea kwa choice yako ni vyema na siwezi kupinga mtazamo wako
 
unaijua gari hujawahi hata kubadili ball joint?u must be joking....
 
Kama mtunzaji mzuri wa magari uanaweza kununua lolote, ila kama una hela ya mawazo achana nayo bora ukanunue Corolla.
 
unaijua gari hujawahi hata kubadili ball joint?u must be joking....
Mkuu inaonesha gari unazonunuaga ni vimeo....uliza wangapi wenye magari walishawahi kubadili hizo mambo zaidi ya kuskia tu kwa watu kama nyie
 
Kwamba umesimama wapi hiyo sio ishu kwangu mkuu, rav 4 nimetumia sana manual na auto na for the time being natumia xtrail so nasema kitu nachokijua...afterall xtrail hii ni ya pili baada ya nyingine ya uingereza yenyewe ni sport(2002) afu manual...so kama unaongea kwa choice yako ni vyema na siwezi kupinga mtazamo wako

ndio maana nilikwambia ujue where i stand....siongelei choice kwasababu mimi binafsi kati ya rav4 na xtrail nachukua XTRAIL regardless of running costs kwasababu naikubali jinsi ilivyo stable,spacious,comfortable....kwahio najua gharama zake ziko juu lakini na prefer kuwa nayo kuliko rav4.
 
Back
Top Bottom