Rasmi nimeachwa leo siku ya valentines!!!

Happy Valentine's,

Salaam wakuu. Niwatakie wote heri ya sikukuu hii ya wapendanao hususan wale ambao wapo kwenye mahusiano mazuri na wanafurahia kua pamoja.

Kwangu mimi, nipo (sina uhakika kama still nipo) kwenye mahusiano ambayo watoto wa mjini wanaita "mguu nje mguu ndani". Kuna mdada mmoja tulikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2018 dar, alikua anapiga mishe sehemu flani karibu na nilipokua nimejishikiza kwa kipindi hilo. Basi tukatengeneza kaurafiki, later on nikajaribu kutupa ndoano lakini sikufanikiwa. But still tuka-maintain urafiki wetu, baadae nikaja nikahama pale nlipokua nafanyia kazi nikahamia mkoa mwingine. Tuliendelea kuwasiliana kimtindo lakini ghafla akaja kupotea hewani kwa takribani miezi Tisa. Sikuwahi kukata tamaa ya kumtafuta hewani, luckily one day nikampata kwa hewa. Hiyo ilikua mnamo mwaka jana.

Akaniambia alisafiri alienda shelisheli kwa dada yake anaishi kule sasa laini ya simu aliiacha dizonga. Alivyorudi bongo akakuta imefungiwa ndio akafanya process za kuirenew. Sikujali kwani kikubwa nilifurahi sana kumpata tena hewani maana aliniingia moyoni haswaa. Basi tukaendelea kuwasiliana daily, ma texts na night calls mpaka mnaishiwa maneno ya kuongea. Hapo nilirudisha mashambulizi upya baada ya ku-reorg( kujipanga upya). Ilichukua muda kidogo kunielewa lakini mwisho wa siku akakaa levo tukaanza dating officially. Sitaki kuidanganya kadamnasi, mahusiano yetu kiunganishi kikubwa ilikua ni simu (long distance relationship) kutokana na chaka nililokuepo na yeye yuko dar. Kazini kwenyewe kulikua msala, ukiomba likizo utasubiri sana. Wanaenda "wakubwa" tu. Kwenye mwezi wa 11 last year nikaanza notice some changes, yale mawasiliano ya mara kwa mara yakaanza kudiminish. Sometimes mnakaa hata siku mbili hamjawasiliana, lakini nikawa najitahidi mimi kumpigia na kumtext ila response ikawa sio kivile. Nikimuuliza, are we okay? Anasema yes, we are. Its just that sometimes I get so busy. Nikaona fresh basi sawa.

Mungu mkubwa nikapata likizo ndefu, this year nikaja DSM since mwezi huu still pia kuonana imekua ngumu, mambo ni yale yale tu. Nikisema nisimtafute siku moja nikae kimya, na yeye anakua kimya. Akiamua kunitafuta basi ni sms ya ,"hellow D". Na unaweza ukamjibu usipate response, baadae usiku ukapata kifuta jasho cha "good night D".

Juzi, I lost my patience nikaamua kumtext na kumueleza kwamba if she was trying love au if she wanted to test how love is like basi amefanikiwa sana. Am taking all the pain as a man, lakini kama endapo atatokea mwengine wa kumpenda basi asijemfanyia hivi kama anavyonifanyia mimi as some people have delicate hearts.

Baada ya kumtext hivyo akanipigia akidai mimi napanick wala sio hivyo kama navyomfikiria mbona ye ananipenda? (Bullshit, I said to my self). Back in days, hata akiwa kwa office ukimpigia kumsabahi then wakati wa kuagana ukimwambia I love you anajibu proudly I love you too, saivi ukimwambia ni usisubiri jibu unakata tu mwenyewe fasta.

So, on this day of Valentine's, nimeona nimchukue mwanangu tarzan baadae twende sinza pale kwa mudy mabiriani tukajinome then kawe club tukale ugimbi kidogo nikirudi geto nikulala tu.

" The greatest love, is to love yourself"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?

Njoo huku na sisi tuwakomoe walio tuacha maana na mimi nimeachwa toka January kwahyo nipo na tu nabangaiza.
 
Pole cha msingi ni kujipenda mwenyewe Kwanza I agree to that !!
Happy Valentine's,

Salaam wakuu. Niwatakie wote heri ya sikukuu hii ya wapendanao hususan wale ambao wapo kwenye mahusiano mazuri na wanafurahia kua pamoja.

Kwangu mimi, nipo (sina uhakika kama still nipo) kwenye mahusiano ambayo watoto wa mjini wanaita "mguu nje mguu ndani". Kuna mdada mmoja tulikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2018 dar, alikua anapiga mishe sehemu flani karibu na nilipokua nimejishikiza kwa kipindi hilo. Basi tukatengeneza kaurafiki, later on nikajaribu kutupa ndoano lakini sikufanikiwa. But still tuka-maintain urafiki wetu, baadae nikaja nikahama pale nlipokua nafanyia kazi nikahamia mkoa mwingine. Tuliendelea kuwasiliana kimtindo lakini ghafla akaja kupotea hewani kwa takribani miezi Tisa. Sikuwahi kukata tamaa ya kumtafuta hewani, luckily one day nikampata kwa hewa. Hiyo ilikua mnamo mwaka jana.

Akaniambia alisafiri alienda shelisheli kwa dada yake anaishi kule sasa laini ya simu aliiacha dizonga. Alivyorudi bongo akakuta imefungiwa ndio akafanya process za kuirenew. Sikujali kwani kikubwa nilifurahi sana kumpata tena hewani maana aliniingia moyoni haswaa. Basi tukaendelea kuwasiliana daily, ma texts na night calls mpaka mnaishiwa maneno ya kuongea. Hapo nilirudisha mashambulizi upya baada ya ku-reorg( kujipanga upya). Ilichukua muda kidogo kunielewa lakini mwisho wa siku akakaa levo tukaanza dating officially. Sitaki kuidanganya kadamnasi, mahusiano yetu kiunganishi kikubwa ilikua ni simu (long distance relationship) kutokana na chaka nililokuepo na yeye yuko dar. Kazini kwenyewe kulikua msala, ukiomba likizo utasubiri sana. Wanaenda "wakubwa" tu. Kwenye mwezi wa 11 last year nikaanza notice some changes, yale mawasiliano ya mara kwa mara yakaanza kudiminish. Sometimes mnakaa hata siku mbili hamjawasiliana, lakini nikawa najitahidi mimi kumpigia na kumtext ila response ikawa sio kivile. Nikimuuliza, are we okay? Anasema yes, we are. Its just that sometimes I get so busy. Nikaona fresh basi sawa.

Mungu mkubwa nikapata likizo ndefu, this year nikaja DSM since mwezi huu still pia kuonana imekua ngumu, mambo ni yale yale tu. Nikisema nisimtafute siku moja nikae kimya, na yeye anakua kimya. Akiamua kunitafuta basi ni sms ya ,"hellow D". Na unaweza ukamjibu usipate response, baadae usiku ukapata kifuta jasho cha "good night D".

Juzi, I lost my patience nikaamua kumtext na kumueleza kwamba if she was trying love au if she wanted to test how love is like basi amefanikiwa sana. Am taking all the pain as a man, lakini kama endapo atatokea mwengine wa kumpenda basi asijemfanyia hivi kama anavyonifanyia mimi as some people have delicate hearts.

Baada ya kumtext hivyo akanipigia akidai mimi napanick wala sio hivyo kama navyomfikiria mbona ye ananipenda? (Bullshit, I said to my self). Back in days, hata akiwa kwa office ukimpigia kumsabahi then wakati wa kuagana ukimwambia I love you anajibu proudly I love you too, saivi ukimwambia ni usisubiri jibu unakata tu mwenyewe fasta.

So, on this day of Valentine's, nimeona nimchukue mwanangu tarzan baadae twende sinza pale kwa mudy mabiriani tukajinome then kawe club tukale ugimbi kidogo nikirudi geto nikulala tu.

" The greatest love, is to love yourself"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole D....ahahahaahh mapenzi mabaya

Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu

. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.

Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Huyo hajakuacha kesho kutwa atarudi akishamalizana na huyo alie mgaramikia leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom