Rasmi nimeachwa leo siku ya valentines!!!

Rasmi nimeachwa leo siku ya valentines!!!

Pole sana, lengo ili tufahamiane tuweze kuliwazana....ya Mungu mengi either unaweza mpata valintine wako amby ana maumiv kama yako
Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
 
Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Unahusu ku identify the needful.... Could u plz be mine?
 
Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Mtoto mzuri huwezi achwa. Utakuwa umeacha wewe au mmeachana.
 
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu

. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.

Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Kwanza sahihisha lugha, Mwanamke haachi anayeachwa ni mwanamme tu. Mwanamke anaweza kumkatataa mwanamme, kwa lugha nyepesi husema mwanmme amekataliwa
 
Mie jana kidogo nizingue tena bila sababu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom