Rasmi nimeachwa leo siku ya valentines!!!

Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Kweli duniani tunatofautiana! How could anybody leave someone as intelligent as u? Au yaliyomo na mengine yamo?. Pole sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upweke unakujaje Wakat Nipo ?
Aaahh Wapi nisikitike Wakat najua probability za kukupata zimeongezeka

Kwanini umeachwa by the way

Sasa mbona haujawahi kuniambia kwamba unanihitaji?
Unafanya hadi naachwa nabembeleza hadi nalia?

Hamna sababu, basi tuu mwanaume akiamua kuacha hata ukipiga chafya inakuwa ni kosa .
 
Kabla ya kuanzisha uzi ulitakiwa uende nyumba ya ibada kutoa shukurani kwa kuepukwa na kikombe hicho
 
Nimeachwa sasa. Sijui ni wapi nimekwama.
Pole sana. Mimi tangu jumatatu najitafakari juu ya mahusiano nikagundua bado sana. Tena nikaongeza madeni, hasara katika mishe niliyoanza kufanya, masomo. Nikajitathmini nikaona nikiwa na hela nakuwa na furaha sana kuliko kuwa na mpenzi. Nimepiga kimya nashukuru naye hajaangaika na mimi kivile. Natengeneza mazingira aniache niwe free.
 
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu

. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.

Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Hapo hujaachwa ww ndo umemuacha kwa kukataa vibomu vyake vya rejareja . Muda kidogo ukipita ataanzisha tena, hapo amekukazia aone kama utakubali kulipuka na vibomu vyake ili arudishe majeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu

. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.

Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.

Toa namba yake
 
Nami nmechezea za mbavu mkuu, kwahyo tupo wengi sana dunian tulotoswa cku ya leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom