Leo nimepewa ua jeusi 💝 💔 siku ya Valentine

Zee la Mandandu

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
622
1,547
Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine.

Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa mdogo wangu @Deepond japo mi naishi Rungwe yeye anaishi Mbeya Mjini. Mara nyingi nikienda Mbeya huwa natupiamo mbili tatu the narudi kwangu Rungwe.

Kuna kipindi niliuona una post status za kuwa na mtu tena anamuita Baba Kijacho so nikasema kwa kuwa mi najipigia tu acha awe na dogo kwani sina mpango wa kumuoa.

Mara nyingi huwa ana niblock mara nifungulia ni vurugu tupu ila mi nikikumbuka yale matako na jinsi alivyokuwa anaifinyia ndani, dah.

Sasa leo, nimetoka zangu shambani nimechoka nikasema nilale kidogo. Nilipoamla nikasema niandae mazingira ya kesho kwenda Mjini nikalichakate.

Hahaaaaa nikasema nimtumie SMS ya "Nakutakia Valentine njema tamu yangu"

Nikaona linapiga, sikupokea. Hahaaaa nimeambulia sms za matusi na kunikataa na kuniacha. Dah, ngoja nimeumia sana. Byeeeeeee Pendo wangu, nakumbuka jinsi unavyoifinyiaga kwa ndani. Ngoja nimfundishe Mama Manka tu namna ya kuifinyia kwa ndani.

Valentine imekuwa mbaya sana kwangu leo.

images.jpeg-1.jpg
 
Pole mkuu. Mwaka wa kufosi huu so umeshindwa kabisa kumpanga😂
Haina shida. Ngoja leo ale valentine na jamaa yake. Kwa kuwa nimeuza Parachichi kwa Ndugu yangu David Nanine a.k.a dingi la mishe hapa Rungwe, Jumanne muamala utasoma kwake. Wikiend hii ngoja aendelee na jamaa yake ili Jumatano nikamchakate. Namjulia sina papara naye.
 
Haina shida. Ngoja leo ale valentine na jamaa yake. Kwa kuwa nimeuza Parachichi kwa Ndugu yangu David Nanine a.k.a dingi la mishe hapa Rungwe, Jumanne muamala utasoma kwake. Wikiend hii ngoja aendelee na jamaa yake ili Jumatano nikamchakate. Namjulia sina papara naye.
Nakubali😂 mwaka wa kufosi
 
...mbeya amna kitu, cjui sababu nini... Yaan sura azieleweki shape napo amna kitu, yaan so unene wala wembamba... Bila vitoto vya univ mbeya 0, upande wa business na pesa sasa, jamaa wanasaka hela kama nn, kuna mtaa mweusi wa magerejini, soweto, kabwe, sido, mwanjelwa, ofcz pamechangamka, makao makuu ya bajaji ni mbeya, utaskia mwambele shewa block T, mbalizi, teku, igawilo... Ofcz vijana wa mbeya wanapga kaz
 
Back
Top Bottom