Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Hahah,. Funika funua 😃Akiitwa bby tu yule kasahau alichoandika huku

Kuachwa inatakiwa kuandaliwa kumbeUnaachaje Kwa urahis hivi Kwanza hukutuandaa
Ndiyo ulijuaKuachwa inatakiwa kuandaliwa kumbe
Nacheka km mazuri vilee, 😂😂😂😂😂Ukiwa hujaachwa akapita mtu analia kisa mapenzi unamuona kama vile amekosa kazi za kufanya 😂
Niko Mm hapaSiwezi kufanya hivyo ni heri nitafute mpenzi mpya
Nenda jeshi sasaNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Kanunue yale ma-dildo uwe unatumia kujiingizia huko.Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Sijui nigombee Jimbo hili?Nadhani hakuwa wangu huyu Mungu atanipa mume mwema
Sipokei fomu za maombi kwa sasaSijui nigombee Jimbo hili?
Ndiyo nini tena hizo mkuu😁😁Nyeto mbili kwa "sayuni" akee😂👋
Hapana siwezi nikihitaji hiyo kitu ntatafuta mpenziKanunue yale ma-dildo uwe unatumia kujiingizia huko.
Ndiyo ntakuwa nalala hivi😁😁Kila la kheri mkuu
View attachment 3313518
Naomba connection mkuuNenda jeshi sasa
Kwani, mlivyopendana ulitwambia? Acha ulimbukeni wa kuweka maisha yako mtandaoni. Haikusaidii chochote zaidi ya kukuonyesha kama limbukeni wa kawaidaNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.