kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #101
Uliomba nini mkuuOna sasa, nilikuomba sana ukanigomea mpaka nikabadilisha ... kwa aibu ili usinifahamu, karibu tenaa
Uliomba nini mkuuOna sasa, nilikuomba sana ukanigomea mpaka nikabadilisha ... kwa aibu ili usinifahamu, karibu tenaa
Sawa mkuuKwani, mlivyopendana ulitwambia? Acha ulimbukeni wa kuweka maisha yako mtandaoni. Haikusaidii chochote zaidi ya kukuonyesha kama limbukeni wa kawaida
Hunitakii memaVumilia kidogo ili utoke na ushahidi wa kutolewa jicho 😊
Wewe shida yako unasikitika sanaNiko Mm hapa
Nasikitika mana sina mwanamke wa kumpa moyo wangu, ila baada ya kukupata sitosikitika tenaWewe shida yako unasikitika sana
Nimesikitika sanaNasikitika mana sina mwanamke wa kumpa moyo wangu, ila baada ya kukupata sitosikitika tena
Kabisa! Watu wengi hawajui hiki, Mungu akikupa Mume au Mke mtajikuta mnafanikiwa maisha yanakwenda, mnaeshimiana na kupendana hadi watu wanakua wanawashanga!Nadhani hakuwa wangu huyu Mungu atanipa mume mwema
Nenda kalmbe dume...😂jimbo limetangazwa kuwa wazi....
Ok naomba mbususu yako mremboI was joking🙄🥲
Masturbation itaua vijana wetuNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Jimbo liko wazi??Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Naipumzisha kwanzaOk naomba mbususu yako mrembo
Hakika mkuu wacha nisonge mbeleKabisa! Watu wengi hawajui hiki, Mungu akikupa Mume au Mke mtajikuta mnafanikiwa maisha yanakwenda, mnaeshimiana na kupendana hadi watu wanakua wanawashanga!
Ukishaona vita kila kukicha hapo kimbia!
Siyo kweli mkuuNlichojifunza kwenye mspenzi ukitaka kufokas sana unafeli, yachukulie kswaida. Kwako wewe naona ulikuwa unapiga mizinga sana. Hakunawansume anakaa kwenye mahusiano ya namna hiyo. Akikukula tu anaanza kukukataa, dont exchange sex for money, hata mm huwa sikai hapo
Kwanini mkuuSasa apo si utaumwa U.T.I kweli?
si kukaa muda mrefu bila ku dooKwanini mkuu
Sijawahi kusikia hiisi kukaa muda mrefu bila ku doo