Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,136
- 33,537
Ki
Kipapatio chako kama kingewekewa luku ya tanesco nahisi Umeme toka ethiopia na sasa kuna mpango wa uranium kingetumia unit nyingi na makato mengi.Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢