Rasmi nimeachana na mapenzi

Rasmi nimeachana na mapenzi

Piga chini chaap, fanya mambo mengine.
Kuna maisha nje ya mapenzi. Ishi humo dear.
 
Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.

Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.

Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.

Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
kwanini unakosea Kila siku?akili huna au?
sisi wanaume makini hatupendi mtu anae kosea kosea Kila mara
 
Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.

Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.

Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.

Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Utaishia kujiuza tu.
 
Nilikuambiaje?

Kuwa makini na Umri wako mdogo haya mambo hayaitaji kujiachia kma unabembea

Pole mdogo wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom