Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
Nipe namba yako tafadhaliNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢